Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.
Sasa nataka...
Video ifuatayo inaonyesha maendeleo lazima yawe ya watu,Tujadili kwa hoja ni kweli au si kweli nani yupo sahihi kati ya Tundu Lissu na Dkt Magufuli
Tundu Lissu anaamini maendeleo ya watu ni...
Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo!
Ingawaje waendesha propaganda...
Njombe leo:
Maji ni uhai, mkoa wa njombe ni moja ya mikoa mikubwa katoka nchi yetu, mbali ya kusifika kwa ardhi nzuri inayostawisha mazao mengi ya biashara ikiwemo chai na miti.
Lakini bado...
Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa...
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini...
17 October 2020
Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa...
Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli .
Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi...
Mh. Rais wewe ndio kiongozi ambae ni chaguo la Mungu
Ndiye waziri wa kwanza kuidhinisha mtumishi wa umma anaejituma alipwe mshahara hadi wa Tsh. milioni sita (6,000,000), ukiwa waziri wa ujenzi...
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya...
Tarehe 15 Oktoba, 2020, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, atakutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini...
SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura...
Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza.
Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita...
Nimemsikikiliza rais Magufuli akihutubia huko Zanzibar akihutubia kuwa mafuta yatayochimbwa huko Zanzibar ni mali ya Wazanzibari.
Lakini schedule ya kwanza ya katiba ya JMT inasema moja ya mambo...
Mhadhiri wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. James Jesse amesema kitendo cha Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Dk. Shein kumteua Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hamad Rashid kuwa...
Katika kampeni zako umesema kuna maeneo hujapeleka maendeleo kwa kuwa wamechagua upinzani.
Swali: Mbona mkoa wa Dodoma karibia wote wamechagua CCM tangu uhuru ila ni maskini wa kutisha? Kongwa...
Nianze kwa kusema wazi kuwa maendeleo ya watu huwezi kuyatenganisha na maendeleo ya vitu kwa namna yeyote ile wazungu wanasema (the are interwovened) hivyo maendeleo yaliyofanyika kwa kuzingatia...
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefika hospitali ya Micheweni kwa ajili ya kuwapa pole wanachama wa CCM waliovamiwa na kupigwa huko katika kijiji...
Baba wa Taifa,mwalimu Nyerere alieishi maisha ya kawaida alipokuwa Ikulu kwa maana ya kutojipendelea yeye mwwenyewe na hata kutopendelea alikotoka, alifanya hivyo hata katika mavazi kwa maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.