DKT. MAGUFULI AMSIFIA UTENDAJI WA ANNA MGHWIRA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM ambaye pia ni Rais wa Tanzania amesifu utendaji wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema soko la Mabibo, Maarufu kama Mahakama ya Ndizi litakuwa chini ya wananchi.
Ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa kampeni...
KUHUSU ELIMU
SAT, imepanua wigo kwa kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari ambapo mpaka sasa imetumika Sh trilioni 1.01. Kutoka shule za msingi 16,899 hapo awali hadi 17,804 na...
Wapo watumishi wa mahakama, tume, vyombo vya dola na taasisi nyingine wamekatazwa na sheria kwa kipindi chote Cha utumishi wasijihusishe na siasa lakini aidha kwa kujua au kutokujua leo wanavaa...
Habarini Wadau wapenda haki,
Kesho Alhamisi ya tarehe 22/10/2020 Mh. Mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM anatarajiwa kuwasili Usariver Arusha.
Tangu asubuhi ya leo kuna shamrashamra...
Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni:
1.Mtu wa Amani
2. Mtu mwenye Afya njema
3. Mtu mwenye...
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.
Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea...
Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.
Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura...
Najaribu kupata mgawanyo wa wapiga kura kwa kila jimbo la uchaguzi. Kwa mfano Vunjo kuna wapiga kura wangapi? Peramiho na Butiama wangapi? Nimejaribu kwenda kwa tovuti ye Tume ya Uchaguzi...
Amani iwe nanyi wadau!
Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania...
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na...
Kuelekea Mwisho Mwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Hapa Tanzania Kumekua na Matukio mbalimbali ya Wagombea Urais ,Ubunge , Udiwani huku kila mmoja akitamba Kuchukua Dola Huku Chama Kikongwe CCM...
Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya...
Nimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi...
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa...
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye...
Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake.
"siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie...
Ni utaratibu uliowekwa na Tume (NEC) kuwa vipeperushi vyote vinavyohusiana na uchaguzi lazima vikaguliwe na kupitishwa kabla ya matumizi.
Majuzi Tume imetoa karatasi ya mfano ya kupigia kura...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina taarifa wala haijapokea maelezo rasmi ya kuwapo mgombea wa urais wa Muungano, aliyejitoa kushiriki uchaguzi mkuu wiki ijayo.
Akizungumza na wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.