Kipindi hiki kura zipi zitagawanyika: Za upinzani au za CCM?

TRUMPLIZATION

JF-Expert Member
Mar 24, 2016
762
1,000
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja.

Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA wameonyesha kuwa na muungano wa Siri wakimkwepa msajili wa vyama.

Kwa upande mwingine wa ccm-mpya kumekuwa na hali ya kujitenga ya kundi lilokuwa likitukanwa aliyejiita mwanaharati huru(Cyprian Musiba). Wote sisi ni mashahidi kuwa watu hao wengine wakiwa na umri mkubwa Sana.

Nami swali jingine nililo nalo kwa sasa, sambamba na heading tilte ni hili:

January (mdogo), Nape, Kikwete, Makamba (mkubwa), kinana na wengine walioumizwa na mfumo huu; watampigia kura Magufuli??.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,670
2,000

Ccm imeshajichimbia kaburi. Inakufa. Hakuna mpya wala ya zamani. Yote imekosa dira. Watoto akina bashiru na polepole wamekosa maarifa komavu ya akina Kinana, wameishia kucheza makida na kutapika hoja za kijinga huku mwenyekiti wao akikosa kabisa mvuto.

Matumizi ya kijinga na wazi ya mali na fedha za serikali kwenye kampeni za ccm linazidi kuchochea chuki na hasira kubwa. Ccm, hakuna namna, ni KANU baada ya uchaguzi huu.
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,292
2,000
JPM amezungukwa na wanafiki. Wengi wanaovaa kijani wameumizwa kila mmoja kwa style yake. Hawa wote wana jambo lao Oct, 28.
 
law healer

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
508
1,000
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja.

Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA wameonyesha kuwa na muungano wa Siri wakimkwepa msajili wa vyama.

Kwa upande mwingine wa ccm-mpya kumekuwa na hali ya kujitenga ya kundi lilokuwa likitukanwa aliyejiita mwanaharati huru(Cyprian Musiba). Wote sisi ni mashahidi kuwa watu hao wengine wakiwa na umri mkubwa Sana.

Nami swali jingine nililo nalo kwa sasa, sambamba na heading tilte ni hili:

January (mdogo), Nape, Kikwete, Makamba (mkubwa), kinana na wengine walioumizwa na mfumo huu; watampigia kura Magufuli??.
Huu ni Mwaka ambao vyama vingi vya upinzani vimependekeza kura zao ni kwa MAGUFULI.
Kuna baadhi ya Chama/vyama walipendekeza kabisa before uchaguzi ya kuwa tunaomba mgombea wetu awe J.P. Magufuli.

Ndio kiongozi mmoja wa vyama vikuu vya upinzani akasema hivi vyama ni kama branch za CCM tu kwa kuwa walikataa kumuunga mkono Mgombea wao.
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
970
500
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja.

Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA wameonyesha kuwa na muungano wa Siri wakimkwepa msajili wa vyama.

Kwa upande mwingine wa ccm-mpya kumekuwa na hali ya kujitenga ya kundi lilokuwa likitukanwa aliyejiita mwanaharati huru(Cyprian Musiba). Wote sisi ni mashahidi kuwa watu hao wengine wakiwa na umri mkubwa Sana.

Nami swali jingine nililo nalo kwa sasa, sambamba na heading tilte ni hili:

January (mdogo), Nape, Kikwete, Makamba (mkubwa), kinana na wengine walioumizwa na mfumo huu; watampigia kura Magufuli??.
Trumplization unaulza MAKOFI KITUONI?
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,282
2,000
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja.

Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA wameonyesha kuwa na muungano wa Siri wakimkwepa msajili wa vyama.

Kwa upande mwingine wa ccm-mpya kumekuwa na hali ya kujitenga ya kundi lilokuwa likitukanwa aliyejiita mwanaharati huru(Cyprian Musiba). Wote sisi ni mashahidi kuwa watu hao wengine wakiwa na umri mkubwa Sana.

Nami swali jingine nililo nalo kwa sasa, sambamba na heading tilte ni hili:

January (mdogo), Nape, Kikwete, Makamba (mkubwa), kinana na wengine walioumizwa na mfumo huu; watampigia kura Magufuli??.
Kwenye karatasi ya kupigia kura, Membe ni namba tisa,wazalendo tunajua tutafanya nini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom