Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dkt. Mahera kuwa makini watanzania watano wamefariki kwa sababu ya nyinyi kuleta mkanganyiko hapo jana. Umejitokeza kujibu hoja lakini hukujibu hoja nzito za mnyika 1) Wasimamizi kwa makusudi...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba mimi ni mwamini Mungu lakini naona huu utaratibu ni kama unatuvuruga tu wananchi, kwani unaondoa dhana ya kutenganisha siasa na dini. Isitoshe mambo mengi ya siasa yamejaa uongo...
3 Reactions
1 Replies
780 Views
TBC wanayo matangazo kipindi hiki ambayo yanahamasisha watu kwenda kupiga kura. Matangazo haya yanakuwa na kipande cha mtu anaongea kuhamasiha wengine kwenda kupiga kura na ni matangazo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Masasi watambue kwamba nafasi ya urais inagusa maisha yao na wala si jambo la...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani...
80 Reactions
220 Replies
17K Views
Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo. Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe. Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache. Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack...
11 Reactions
122 Replies
13K Views
Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau leo ninapenda niliweke hili suala uwanjani kwa kuwa naamini humu kuna wana CCM, wana Chadema, nk. Kwa ujumla ccm ni zao la TANU na ASP na kwa mantiki hiyo tokea mwaka 1961 ccm iko...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Nitaboresha urafiki na sekta binafsi ili kuzidi kukuza uchumi wa ndani, fursa za kutosha katika mkoa wa singida ikiwemo kilimo ili vijana waweze kunufaika. ''Kwa sasa sekta binafsi na serikali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu mfanyakazi, Baada ya taasisi mbalimbali kutoa matokeo yake, ni nafasi ya wafanyakazi na sisi kushiriki katika utafiti huu ambao ni jukwaa la wafanyakazi kutoa maoni yao Tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Naam, hukumu imekatwa. Watanzania wameamua kwa dhati ya mioyo yao kuwa CCM wapumzike. Tanga kwa bashasha wamesema ni yeye! Kagera wamenena ya moyoni bila kificho kuwa ni yeye...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Viongozi wa dini mara zote wamekuwa wakihimiza au wao wakiombea taifa kuwa na amani.Hata hivyo tumeambiwa amani ni tunda la haki,na sisi tunahitaji tuendelee kuvuna tunda hilo. Nadhani imefika...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
Habari wajumbe wangu! Kwakweli kabisa bila kupepesa macho nasema ukweli kwamba CCM hakuna ajenda wala sera. Mambo ni yale yale miaka yote wamekua wakiyaahidi na kila ikifika uchaguzi wanayarudia...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila siku, Tanzania ni moja kati ya nchi iliyojaaliwa tunu kadha wa kadha na Muumba wa mbingu na ardhi, ukiachana na utajiri mkubwa...
1 Reactions
9 Replies
969 Views
Katika kipindi cha 2015-2020 Taifa limeshuhudia uongozi uliotukuka na unaojali maendeleo ya watu maeneo yote ya nchi. Sitaki kusema yote lakini Rais dr Magufuli kazi aliyoifanya ni kubwa na...
2 Reactions
13 Replies
622 Views
Kuna mambo fulani yanaweza kuwa yanakiukwa katika suala zima la ushirikiano wa Chadema na Act wazalendo kuhusu kumuunga mkono Tundu LIssu wenye kugombea uraisi. Lakini kila mtu, pamoja na CCM...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
"CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM...
2 Reactions
0 Replies
880 Views
CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu. CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya...
32 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom