Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa...
Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba...
Baada ya kuona upepo unazidi kua mbaya na mgombea wa upinzani akisisitiza kulinda kura ili wahuni wasichakachue..na endapo wakichakachua basi raia wataingia barabarani.
Wagombea wa CCM wamekazana...
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo...
Wadau, Viongozi na Wachambuzi wa Sayansi ya Siasa nawapa salamu bila kuwasahau wana JF, katika jukwaa hili tupo mchanganyiko kwa taaluma zetu, ninawaomba wale wenye majibu mahsusi yanayohusu...
Kuhakiki taarifa, Mpiga Kura anatakiwa kuwa na Namba ya Mpiga Kura ambayo ipo kwenye Kadi ya Mpiga Kura.
Kuhakiki taarifa weka namba ya mpiga kura (kama ilivyoandikwa kwenye kadi yako ya Mpiga...
Amani ya nchi hii ilikuwa ya thamani mno kiasi kumtaka kila mmoja wetu kufanya yote yawezekanayo kuhakikisha kuwa hatutetereki lilikuwa si jambo la kupuuzwa.
Tume kwa kuendesha uchaguzi wa wazi...
Hii ni baada ya wananchi kukubali Mabadiliko kwa moyo mweupe kabisa.
Utawala wa kisultani wa jimbo hilo unaenda kuangushwa baada ya hongo ya viberiti, chumvi, Sukari na Ulanzi kugonga mwamba...
Huyu dada nimekuwa namfuatilia kila alipo Tundu Lissu kwenye hii mikutano ya kampeni inayoendelea.
1. Anaonekana ni mtu jasiri sana kila anakopita.
2. Anaonekana ni mtu mwenye mafunzo hodari ya...
Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali...
Huyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.
Kichangia neno katika kupokea nyumba za vingozi mzee...
Habari za Jioni wana Nzengo!
Sasa iko wazi kutokana na umahiri, uwezo, nia na ari aliyonayo Mh Tundu Lissu Mgombea wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ktk ngazi ya Urais atashinda uchaguzi huu...
Habari za wakati huu
"Maendeleo ni hatua (Development is a Process) ambayo inalenga hasa kuhakikisha kuna kuwa na jamii bora, iliyostaarabika, yenye furaha na inayopata mahitaji yake yote ya...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia chama cha Democratic Party amejisifu kwa kuwa mgombea pekee anayeishi kijijini.
Fumbo anaishi katika Kijiji cha Mwakizega, Kata ya Mwakizega, Tarafa ya Ilagala...
Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana...
Bishara ya kununua watu kwa ahadi ya madaraka au nguvu ya fedha itabaki kuitwa biashara ya utumwa siku zote.
Waasisi wa biashara ya utumwa awamu ya tano Wana kila sababu yakulaumiwa na kukifanya...
Wakuu Kwema?
Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta...
Amueni kwa nia moja kabisa kuwa kupata kwa Tundu Lissu ushindi sio kupata kwa CHADEMA bali kwa Watanzania wote wapenda maendeleo na demokrasia.
Adhima ya kuiondoa CCM yenye ukandamizaji na...
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM.
Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.