Zanzibar 2020 Kuna la kujifunza kwa kauli hii ngumu ya Maalim Seif kwa ZEC na NEC

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,193
Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake.

"siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie barabarani nyote mnajua, mwaka huu simzuii mtu, atakaye amua kufanya lolote, kutetea haki yake si mzuii, ngojeni muziki tarehe 27 na 28 mtauona"

Leo na kesho kuna kauli zaidi ya hiyo na ukiona na kusikia kauli kama hizi ujue watu wamekuchoka na soon lolote linaenda kutokea ila tutazisikia kauli kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa zaidi ya hiyo.
 
TUME ITENDE HAKI.WANANCHI WAMEAMUA KUIONDOA CCM TANGU 2000
Wrong kwa visiwani nadhani ni tangu 1995. Kihistoria hawa jamaa walikuwa wakienda na ASP, waliingia kwa mkono wa TANU chini ya Nyerere bila ya kushinda kwenye sanduku la kura.

Ukisikia wanasema nchi hii haikupatikana kwa vikaratasi, basi ufahamu watakuwa wanajakusudia walipindua. Hawafahamu kabisa neno demokrasia.
 
Uyo asha legea kutoka kuwaambia wakapige kura tarehe 27 leo hii anasema 27 & 28...

Zaidi zaidi iundwe serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Humjui Seif wewe!

2017 alizunguka zunguka huko ulaya, aliporudi akasema atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar ndani ya miezi 3.

Mpaka leo, Seif anangojea miezi 3
 
Humjui Seif wewe!

2017 alizunguka zunguka huko ulaya, aliporudi akasema atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar ndani ya miezi 3.

Mpka leo, Seif anangojea miezi 3
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUME ITENDE HAKI.WANANCHI WAMEAMUA KUIONDOA CCM TANGU 2000
Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani. Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabu
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba yenu inaruhusu kubaka ushindi, that is why Kiongozi aliye kuwa anaanza kuheshimika kama samia ameongea utumbo.
 
Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani...Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabu
Tazama maelfu ya watoto wa shule za msingi waliopo hapa.
20201020_231219.jpg
 
Humjui Seif wewe!

2017 alizunguka zunguka huko ulaya, aliporudi akasema atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar ndani ya miezi 3.

Mpaka leo, Seif anangojea miezi 3
NOTE:
Mwanao akimaliza masomo hawezi kuwa yule uliyemzoea, kutokana na elimu aliyopata hawezi kubaki kuwa yule yule.
 
Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani. Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabu
Kwa halii hii mtajiju.View attachment 1607147
IMG_20201006_133954.jpg
View attachment 1607148
 
Wrong kwa visiwani nadhani ni tangu 1995. Kihistoria hawa jamaa walikuwa wakienda na ASP, waliingia kwa mkono wa TANU chini ya Nyerere bila ya kushinda kwenye sanduku la kura.

Ukisikia wanasema nchi hii haikupatikana kwa vikaratasi, basi ufahamu watakuwa wanajakusudia walipindua. Hawafahamu kabisa neno demokrasia.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom