Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo tokea mida ya Saa 5 asubuhi ukipita tu au ukikatiza zako 'Mitaa' ya Kawe ni lazima tu utakutana na Vijana wa CCM ( japo nimeambiwa wanatokea Kanisa la Askofu Gwajima ) wakiwa wanagawa...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti...
17 Reactions
272 Replies
27K Views
Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
======== MAJIBU YAKE ======== "Kama wanalalamika mimi nimetumia salamu ya CCM, kaangalie Katiba ya CCM kama kuna aina hiyo ya salamu, ule ni msemo wangu, mwisho nilisema chama tawala hakina...
6 Reactions
195 Replies
22K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya Kituo cha Afya cha Mwanga kuwa hospitali ya Wilaya. Kwa sababu hiyo kutakuwa na hospitali mbili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania ina wastaafu wengi sana ambao wanahudumiwa kwa kodi za Watanzania wote bila kujali dini Wala vyama vya siasa. Wastaafu wetu hawana budi nao kuwahudumia walipa Kodi Hawa kwa kwa...
1 Reactions
18 Replies
939 Views
Habarini wana JF Samahanini waungwana naomba kuuliza kata ya Yombo Vituka ipo wilaya gani na jimbo gani yaani kati ya jimbo la Temeke na Mbagala na je naweza pata hata mitaa miwili ya kata ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020. Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Kilimo: Chama hicho kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu kikiwakilishwa na Mgombea wa Urais Philipo Fumbo kimeahidi kuweka trekta kila kijiji ambalo litakuwa chini ya ofisi ya Afisa Mtendaji Matrekta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo...
12 Reactions
296 Replies
30K Views
Nimetazama taarifa ya habari TBC1 nimepigwa na butwaa kusikia Spika Sitta anatangaza nia kugombea tena uspika...daaah kweli mzee kaanza kuogopa kivuli chake.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Khaaa yaani kumbe ndo ulivo hiyo baba mwanaasha..Tabu yote tumepata kumbe we ndo uliamrisha njia ifungwe...hahaaaa..haya bana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Propaganda za hovyo hizi
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Kumekuwepo na na Baadhi ya watu kusema, hawatotii Sheria za uchaguzi zilizobainishwa kuhusu utaratibu wa kupiga Kura, ambapo baada ya mtu kupiga Kura yake anapaswa aondoke Eneo la kupigia Kura...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Suala la kusafirisha mawakala kwenda kula kiapo wasiachiwe wagombea. Kuna majimbo yana jiografia mbaya sana na hayana mgombea ubunge. Na hata kama yupo hana fedha. Sasa unakuta safari ya kwenda...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Ninawiwa kuandika waraka wangu binafsi kwa waTanzania kuhusu umuhimu wa kupiga kura na kuchagua mgombea ngazi zote kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo: 1. Binafsi mimi nitapiga kura lakini...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Ndugu zangu, bado wiki moja tu ya kufanya maamzi sahihi kwa yule aliyekuwa anatuona watu wa kawaida. Kimsingi sisi ni watu wa juu na tutabakia juu kileleni. - Alitutumbua nasi twendeni tumtumbue...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge...
11 Reactions
13 Replies
46K Views
Back
Top Bottom