Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa. Tumetafuta kura za...
3 Reactions
115 Replies
6K Views
Anaandika Mhenga wa Wahenga, Kaskazini Kuna baadhi ya nyaya katika bongo za wenzetu CHADEMA zimelegea na tusipowaangalia vizuri nyaya hizo zitalipuka. Chadema wameamua kuwafanya Watanzania ni...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba. Nyumba hizo...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni Mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita Kwa miaka mitano kila television, magazeti...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani...
4 Reactions
94 Replies
10K Views
Asasi ya Ushirikiano wa Siasa,Ulinzi na Usalama (TROIKA) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeridhishwa na mazingira ya hali ya siasa nchini Tanzania yanaruhusu kufanyika kwa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi. Lakini pia wagombea wa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema Wabunge na Madiwani wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria na kufuata Sheria. Amesema, "Uchaguzi katika nchi zote unasimamiwa na Sheria na...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo Dkt Magufuli alimtafuta waziri Jaffo kwenye simu lakini hakupatikana na kuamua kumtafuta katibu mkuu na mazungumzo yao yalikuwa hivi. MAGUFULI: Katibu mkuu hujambo? NYAMHANGA: Sijambo...
12 Reactions
111 Replies
11K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewasilisha malalamiko kwenye Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupinga kushambuliwa wafuasi wake walipokuwa kwenye mikutano ya kampeni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
STAND YA MABASI SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imefanikiwa kujenga stand ya mabasi mkoani Katavi wilaya ya Mpanda na kuipatia jina la stand ya mabasi ya Mizengo Pinda kwa heshima ya waziri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na, Sam Ruhuza, Leo Mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi Mkuu 28/10/2020 wanatakiwa kuapishwa. Sheria inasema wazi wataapishwa na msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo ambaye ni Mkurugenzi wa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA TOKA UGANDA MPAKA TANZANIA Rais Yoweri Museveni na Raisi JPM wamezindua ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki kutoka wilaya ya Hoima, nchini Uganda hadi bandari...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimesikiliza sera mbalimbali za vyama vyetu kuelekea uchaguzi Mkuu 2020. Kuna watu wanaaminishwa huku vijijini kuwa ukichagua mpinzani kutatokea vita. Pia nimesikia baadhi ya redio na Tvs na...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni Rais Dkt John Magufuli pekee mwenye uwezo wa kudhibiti haya. 1.Kuondoa wavivu na wasiopenda kufanya kazi 2. Kuondoa mafisadi 3.Kuondoa wala rushwa 4. Kuondoa watakatishaji wa fedha za miradi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Muda unayoyoma wiki ya lala salama ndiyo hiyo tunaianza. Kwa hakika hatima yetu kama taifa ni dhahiri kabisa kuwa ipo mikononi mwa tume zetu za uchaguzi yaani NEC na ZEC. Maamuzi sahihi ya NEC...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom