Alhamdulillah - WaTanzania tumeanza kuelewa faida ya kupiga kura - CCM ni waongo tunaiondoa

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,095
2,000
Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.

Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na hakuna muelekeo wa kutimizwa,tunazidi kufariki mahospitali matibabu ni duni,wananchi wanafariki kwa matatizo yanayotibika, lakini unabaki kuhangaishwa kutoka cliniki dispensari na vituo kibao unaishia kufa kwenye hospitali kuu.

CCM imetudanganya, tunachotakiwa kukubali ni kuwa imetudanganya kauli zao ni hizo kwa hizo wanazirudia kila baada ya miaka mitano,sasa kosa kubwa itakuwa tutairudisha madarakani jambo ambalo viashiria vyote vinaonyesha mwaka huu na mwezi huu WaTanzania walio wengi wameapa kutorudia kosa la kukirudisha madarakani Chama kinachosema uwongo na chama lilichopo madarakani na kimevuka mipaka kwa kusema uwongo ni CCM.

Tunasema CCM sasa imetosha umetudanganya miaka mingi sana,umetunyanyasa miaka mingi sana,umetufungia uhuru miaka mingi sana na hii mitano inayomaliza ndio huna la kutueleza,mpaka leo hata Jamiiforums ina kesi ,wananchi wameingia woga na hofu,sasa imetosha hawataki kutongozwa kwa ahadi zenu zisizotekelezeka,wananchi wanasema imetosha,

Kura zinaenda kwa Chama kingine nacho tutakutana nacho baada ya miaka mitano,lazima vyama viwaheshimu wananchi na sio vinapokabidhiwa madaraka vinajisahau na kujiona vipo juu ya sheria na wanaweza kuwafanya wananchi jambo lolote,wangapi wameuliwa,wamepigwa risasi wamefungwa majela bila ya sababu Serikali kuu kama haina habari,ipo ipo tu kuchumia matumbo yao,mlisahau kuwa miaka mitano ni muda unakwenda na unamaliza.

Buriani CCM mnakufa mdomo wazi.msishituke hamufi mnazimia tu.mkizinduka jiongezeni pengine mkarudi kwenye chati.
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,095
2,000
Habari za ndani ya CCM zinadai kuwa mambo ni magumu nani atamuarifu mkuu kuwa CCM haitoboi ,hesabu zao zinaonyesha asilimia za kura zimeshuka ,kila wanavyopanga wanajikuta wanaangukia asilimia selasini tu.

Ndani ya CCM kiini, sio siri tena kuwa ushindi mwaka huu ni sawa na mamba kupanda mti na kwa mnaofuatilia angalieni mgombea wao mara presha juu mara imeshuka,

bye bye CCM.
la je itasavaivbaada ya kushindwa uchaguzi huu hilo nalooooooooooooooooon.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,992
2,000
Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.

Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na hakuna muelekeo wa kutimizwa,tunazidi kufariki mahospitali matibabu ni duni,wananchi wanafariki kwa matatizo yanayotibika ,lakini unabaki kuhangaishwa kutoka cliniki dispensari na vituo kibao unaishia kufa kwenye hospitali kuu.

CCM imetudanganya, tunachotakiwa kukubali ni kuwa imetudanganya kauli zao ni hizo kwa hizo wanazirudia kila baada ya miaka mitano,sasa kosa kubwa itakuwa tutairudisha madarakani jambo ambalo viashiria vyote vinaonyesha mwaka huu na mwezi huu WaTanzania walio wengi wameapa kutorudia kosa la kukirudisha madarakani Chama kinachosema uwongo na chama lilichopo madarakani na kimevuka mipaka kwa kusema uwongo ni CCM.

Tunasema CCM sasa imetosha umetudanganya miaka mingi sana,umetunyanyasa miaka mingi sana,umetufungia uhuru miaka mingi sana na hii mitano inayomaliza ndio huna la kutueleza,mpaka leo hata Jamiiforums ina kesi ,wananchi wameingia woga na hofu,sasa imetosha hawataki kutongozwa kwa ahadi zenu zisizotekelezeka,wananchi wanasema imetosha,

Kura zinaenda kwa Chama kingine nacho tutakutana nacho baada ya miaka mitano,lazima vyama viwaheshimu wananchi na sio vinapokabidhiwa madaraka vinajisahau na kujiona vipo juu ya sheria na wanaweza kuwafanya wananchi jambo lolote,wangapi wameuliwa,wamepigwa risasi wamefungwa majela bila ya sababu Serikali kuu kama haina habari,ipo ipo tu kuchumia matumbo yao,mlisahau kuwa miaka mitano ni muda unakwenda na unamaliza.

Buriani CCM mnakufa mdomo wazi.msishituke hamufi mnazimia tu.mkizinduka jiongezeni pengine mkarudi kwenye chat
707fe124a1f10f2be88b7154b5944547.jpg
 
pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,220
2,000
Magufuli anadai benki ya dunia ilitabiri Tanzania itaingia uchumi wa kati mwaka 2101 lakini yeye kauingiza 2020 hivi huyu jamaa anapohutubia hua ana boost kidogo kupata stimu hau?
 
MERCYCITY

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
905
1,000
Wakuu Jecha si bado hupo. Mtachomoza kweli?. Labda Mungu ashushe rungu lake ndiyo mnaweza kuchomoza. Ni siku nyingi tu CCM haipwendwi lakini ndiyo hivyo tena wameshatuona sisi wananchi hatuna uwezo wa kuiondoa. Kuna ripoti nimesoma watu mill 28 ya watanzania wanaishi katika umaskini wa kutupwa. Hiyo ndiyo CCM. Tunatakiwa sasa wananchi ndio wasimamie chama. Chama kikiboronga kinaondolewa madarakani. Kwa Afrika chama kikishika dola basi kinajigeuza na kuwatawala wananchi.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,972
2,000
Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.

Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na hakuna muelekeo wa kutimizwa,tunazidi kufariki mahospitali matibabu ni duni,wananchi wanafariki kwa matatizo yanayotibika, lakini unabaki kuhangaishwa kutoka cliniki dispensari na vituo kibao unaishia kufa kwenye hospitali kuu.

CCM imetudanganya, tunachotakiwa kukubali ni kuwa imetudanganya kauli zao ni hizo kwa hizo wanazirudia kila baada ya miaka mitano,sasa kosa kubwa itakuwa tutairudisha madarakani jambo ambalo viashiria vyote vinaonyesha mwaka huu na mwezi huu WaTanzania walio wengi wameapa kutorudia kosa la kukirudisha madarakani Chama kinachosema uwongo na chama lilichopo madarakani na kimevuka mipaka kwa kusema uwongo ni CCM.

Tunasema CCM sasa imetosha umetudanganya miaka mingi sana,umetunyanyasa miaka mingi sana,umetufungia uhuru miaka mingi sana na hii mitano inayomaliza ndio huna la kutueleza,mpaka leo hata Jamiiforums ina kesi ,wananchi wameingia woga na hofu,sasa imetosha hawataki kutongozwa kwa ahadi zenu zisizotekelezeka,wananchi wanasema imetosha,

Kura zinaenda kwa Chama kingine nacho tutakutana nacho baada ya miaka mitano,lazima vyama viwaheshimu wananchi na sio vinapokabidhiwa madaraka vinajisahau na kujiona vipo juu ya sheria na wanaweza kuwafanya wananchi jambo lolote,wangapi wameuliwa,wamepigwa risasi wamefungwa majela bila ya sababu Serikali kuu kama haina habari,ipo ipo tu kuchumia matumbo yao,mlisahau kuwa miaka mitano ni muda unakwenda na unamaliza.

Buriani CCM mnakufa mdomo wazi.msishituke hamufi mnazimia tu.mkizinduka jiongezeni pengine mkarudi kwenye chati.
Mwaka huu tunaye Mwamba akisema suu ni suu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom