NItapata wapi mgawanyo wa wapiga kura?

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Najaribu kupata mgawanyo wa wapiga kura kwa kila jimbo la uchaguzi. Kwa mfano Vunjo kuna wapiga kura wangapi? Peramiho na Butiama wangapi? Nimejaribu kwenda kwa tovuti ye Tume ya Uchaguzi www.nec.go.tz lakini tovuti haifunguki!
 
Mkuu, hawa NEC wamekwisha sema kutakuwa na vituo 80K + nchi nzima, na kila kituo si zaidi ya wapiga kura 500... ukifanya mahesabu ni 500 x 80,000 = 40,000,000... waliojiandikisha ni Mil 29... sasa uchakachuaji ni nje nje... labda swali lako lingekuwa ni namna gani ya kudhibiti wizi na uchakachuaji...
 
Back
Top Bottom