beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi tumeshavumilia vya kutosha, sasa tunakwenda tarehe 27 na 28 tukiwa tayari kwa lolote litakalotokea kulinda Demokrasia na Haki ya Wazanzibari kumchagua Rais wanayemtaka"
Ameongeza, "Nchi yetu iliamua kwa hiari kuingia katika mfumo wa Vyama vingi, jambo hili lipo katika Katiba ya Taifa letu. Tuiache Demokrasia ifuate mkondo wake kwa amani"