Uchaguzi 2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
2,905
2,000
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

IMG_20201019_154233.jpg
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,995
2,000
Nahisi na yeye wakati muafaka Wa yeye kwenda kujiajiri, maana hawa wamezoea kutuambia vijana mjiajiri , ngoja na yy aingie kitaa kidogo

Umeongea pointi sana .
Chadema wamekosea sana ,miezi miwili bila kutangaza mipango yao ya maendeleo.
Kuna mambo hutakiwi ukapanda kwenye jukwaa halafu ukaacha kuyazungumzia.
Mfano : Ajira, miundo mbinu, Elimu , Kilimo cha kisasa, Uchumi, utalii nk.

Muda mwingi wameonekana wanalalamika.
Kampeni zimeisha, Magufuli ameonyesha wazi kuwa ataendelea na kazi ya ujenzi wa miundo Mbinu.
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
2,905
2,000
Umeongea pointi sana .
Chadema wamekosea sana ,miezi miwili bila kutangaza mipango yao ya maendeleo.
Kuna mambo hutakiwi ukapanda kwenye jukwaa halafu ukaacha kuyazungumzia.
Mfano : Ajira, miundo mbinu, Elimu , Kilimo cha kisasa, Uchumi, utalii nk.

Muda mwingi wameonekana wanalalamika.
Kampeni zimeisha, Magufuli ameonyesha wazi kuwa ataendelea na kazi ya ujenzi wa miundo Mbinu.
Jiwe hana jipya kaka anaendeleza aliyoyaanza huku wananchi wake wakiendelea kutaabika
 
JOYOPAPASI

Senior Member
Jan 10, 2016
142
250
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa ccm kwa nafasi ya ubunge mbeya vijijini ndugu oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale.Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake.Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi
View attachment 1606804
Mkutano wa hadhi ya Diwani kijijini sawa na Ushindi Ni Lazima MTAKE MSITAKE INYESHE LIWAKE JPM NI RAIS JPM5TENA.
IMG-20201020-WA0864.jpg
IMG-20201020-WA0454.jpg
IMG-20201019-WA1326_1.jpg
 
Elpaul

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
334
250
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.

Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena hajawafanyia lolote wananchi wake. Kwenye mkutano huu naona tu watoto wa shule ndio wapo kwa wingi.

View attachment 1606804
Weka na kampeni za wagombea wa vyama vya Upinzani, usimulike ya ccm tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom