Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha...
2 Reactions
5 Replies
739 Views
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee Magufuli hali mbaya sana. Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote ni fadhila. Wananchi...
4 Reactions
61 Replies
5K Views
Kama kuna sehemu viongozi wa dini walipotea nikumsikiliza mwanadamu Mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka kuwaelekeza kuunda kamati za Amani. Kamati ya amani ya jiji la Dar es Salaam ni moja ya...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawaonea huruma wapuuzi wanaohangaika wakijitahidi kuzuia Tsunami kwa mikono, Mh. Tundu Antiphas Lissu hamtamweza, Ni YEYE mpende msipende na ole wenu msipochukua tahadhari, mtasombwa na maji...
28 Reactions
75 Replies
7K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo...
54 Reactions
186 Replies
18K Views
Mara zote ukitaka mabadiliko lazima uonyeshe uwezo mkubwa na wakuaminika bila kupingwa na zaidi ya asilimia hamsini ya watu unaoishi nao. Binafsi napenda sana kusikia mawazo ya watu hasa kuwapatia...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo...
41 Reactions
151 Replies
21K Views
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Huyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa umri wetu tunaona mengi, kiongozi anapofanya kampeni usaidiwa na watu mbalimbali na wengi uwalipa fadhila ya ajira. Ntatoa mfano, Yule kijana Nassary wa Arusha ameahidiwa ajira, ili apate...
2 Reactions
1 Replies
897 Views
PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya...
68 Reactions
173 Replies
15K Views
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a...
1 Reactions
5 Replies
778 Views
Wapwa Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema...
16 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom