RC Kunenge ni darasa kwetu vijana, is down to earth

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,668
2,000
Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum.

Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini amepita magumu mangapi na kamwe hajawahi fanya hata fyooo jamaa ni mkimya na anapenda tabasam au hana makuu masikini ya Mungu. Muda wa kanzu anavaa kanzu muda wa kuvaa t shirt anavaa T-Shirt haitaji ulinzi wa kutisha au kama Rais anavyolindwa Rais akivaa suti yeye anavaa shati na suruali na Tai the guy is down to earth.

Mkuu wa wilaya anayekuwa na masham sham na vibe ya jamaa aliyetoka anaku-support Ila anakuja na nguo mpauko wewe umevaa suti kazi kweli kweli.

Nadhani Yule Bwana anaitwa Mpagazi anahitaji kututengenezea documentary fupi ya Kunenge na maisha yake.

Ananifurahisha na ninamuona kama kiongozi mkubwa ajaye ktk siku za mbeleni. Unapewa ukuu wa wilaya tu unagombana na kila mtu ofisini huo ni uchizi au ukalume kenge?

Embu tujifunzeni Kwa huyu mkuu wa mkoa mpya wa DSm let us be humbled
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,408
2,000
RC Kunenge ni mchapakazi mzuri sana!

Ni mtu wa vitendo zaidi katika utendajikazi wake kuliko maneno na mapichapicha !
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,277
2,000
Ina maana unamuona ni bora kuliko RC mstaafu aliyemkabidhi ofisi?
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,882
2,000
Watu wana hamu na ole sabaya aje alete mchaka mchaka kona zote kuanzia pemba mnazi hadi ununio,kuanzia pugu hadi vikindu.
 
Bunsen Burner

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
535
1,000
RC Kunenge ni mchapakazi mzuri sana!

Ni mtu wa vitendo zaidi katika utendajikazi wake kuliko maneno na mapichapicha !
Bt kwa trend ya uongozi Tz, nafikiri itabidi nae aanze kupenda kutoa matamshi, maagizo mengi na kupenda mapicha mapicha kila wakati, ili kusikika na kuonyesha yupo na anachapa kazi...kama alivyoonekana leo kwenye TV ..but vilevile ajue kwenye mambo kama ya projects, Conditions of contracts nyingi huwa zina ' penalty fine clauses' ambazo huwa zipo clear na zinaelekeza nini cha kufanya in case of any project delays caused by contactor's inefficiencies...na wala haihitaji matamshi au maagizo mengi ya kuchukua ni kifanywe....unless wasimamizi wa miradi hiyo nao wanakuwa ni incompetent..
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,738
2,000
Hahaha mnaanza kumuombea kazi?!
Magufuli aondoke na watu wake wote, sasa sijui watatosha kule jijini chato?!
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,096
2,000
Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum.

Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini amepita magumu mangapi na kamwe hajawahi fanya hata fyooo jamaa ni mkimya na anapenda tabasam au hana makuu masikini ya Mungu. Muda wa kanzu anavaa kanzu muda wa kuvaa t shirt anavaa T-Shirt haitaji ulinzi wa kutisha au kama Rais anavyolindwa Rais akivaa suti yeye anavaa shati na suruali na Tai the guy is down to earth.

Mkuu wa wilaya anayekuwa na masham sham na vibe ya jamaa aliyetoka anaku-support Ila anakuja na nguo mpauko wewe umevaa suti kazi kweli kweli.

Nadhani Yule Bwana anaitwa Mpagazi anahitaji kututengenezea documentary fupi ya Kunenge na maisha yake.

Ananifurahisha na ninamuona kama kiongozi mkubwa ajaye ktk siku za mbeleni. Unapewa ukuu wa wilaya tu unagombana na kila mtu ofisini huo ni uchizi au ukalume kenge?

Embu tujifunzeni Kwa huyu mkuu wa mkoa mpya wa DSm let us be humbled
Mshamfungulia siredi kabisa! Mkuu jiwe hapangiwi.
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,418
2,000
Mmeanza kumsifia ili asiwachukulie hatua kwenye ufisadi mlioufanya?

Chadema ni janga
Mleta uzi ni mwizi na muuaji mwenzako, huyu ndiye aliyemuonya Ben saa 8 na kweli akatekeleza.
Naona ameanza kuogoka.
Elitwege badilika achana na ukatili kwa ndg zako Watanzania

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,509
2,000
Huyu Mkuu mpya wa mkoa karudisha misingi ya uongozi bora.
Siku hizi ni kawaida ya kuwasikia vigogo wakitumia mabavu kutatua mambo fulani pale wanapokuwa wamepungukiwa maarifa ya kufanya jambo kwa ufasaha.
 
edwardbm

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
292
250
Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum
Nimeelewa post. ila hiyo "Mimi sio muislam", kwenye introduction yako, Ina husiana Vipi na post yako?

Sioni haja ya hiyo declaration 🤷🤷
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom