Uchaguzi 2020 Hatua ya Upinzani Tanzania

Feb 12, 2020
12
6
Mara zote ukitaka mabadiliko lazima uonyeshe uwezo mkubwa na wakuaminika bila kupingwa na zaidi ya asilimia hamsini ya watu unaoishi nao. Binafsi napenda sana kusikia mawazo ya watu hasa kuwapatia uhuru wa kueleza mitazamo wao na malengo yao.

Kitu ambacho WaTanzania tunakosa ili kufanya mambo yetu yaende kwa weredi ni kusahau historia yetu, hata kama tukio limeshatokea miaka si zaidi ya kumi iliyopita. Mara zote mtu ambaye hajui historia yake halisi iwe kisiasa, kijamii, kidini na kiuchumi huyo ni mtu tu mpumbavu ambaye anatembea bila kujua anakotoka wala anakoelekea. Kitu ambacho unatakiwa kujiuliza ni kwamba UPINZANI Katika nchi hii ni watu tu wanaotembea hawajui historia yao. Hii inasababisha kukosa mvuto na idadi kubwa ya watu waliokuwa wanazidi kuongezeka tokea kipindi cha Dr. Slaa.

CCM wameimarika sana kisiasa na wamejizolea umaarufu kila kukicha hii ni kwa sababu ya historia yao kutosahaulika na misingi yao kuwa imara zaidi. Hii inasababisha wawe na weredi katika kazi zao na mambo yao kiujumla.

Sisi kama waTanzania, licha ya kuwa na vyama vingi kitu tunatakiwa kukifahamu nikwamba tunahitaji maendeleo. Tunahitaji taifa lenye nguvu kisiasa na Kiuchumi, tunahitaji kutengeneza taifa lenye mfano barani Africa. Vyama vingi visiwe kikwazo kwetu vya kimaendeleo. Tukumbuke kuwa Uzalendo wa chama fulani cha siasa unaokufanya usione maendeleo hata ya wazi yanayofanywa na vyama vingine hugeuka na kuwa utumwa wa fikra, lakini pia kuwa mzalendo na chama chako ukashindwa kuona hata makosa ya wazi ndani ya chama chako hugeuka na kuwa utumwa na upumbavu kifikra.

Kwa hiyo basi, tarehe 28/10/2020 tukapige kura tukachague kiongozi mwenye maono na maslahi mapana ya taifa hili. Kiongozi atakayeishangaza dunia kwa maendeleo ndani ya taifa letu, Kiongozi shupavu atakayetetea Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kiongozi atakayetoa uelekeo sahihi wa taifa hili, Kiongozi atakayelinda maliasili zetu, misitu yetu, wanyama wetu, madini yetu, na ardhi yetu. Tuache kufanya maamuzi kwa hisia tuhusishe akili na ufahamu wote kabisa.

Nchi hii na Afrika kwa ujumla ni tajiri sana, changamoto iliyopo ni kuwa hatujawahi na hata kama tumewahi ni mara chache sana kupata Viongozi halisi (Viongozi waAfrika na weusi), mara nyingi tumekuwa na Viongozi wenye ngozi nyeusi lakini ndani ni watu weupe (Caucasian).

Kwa hiyo Tanzania na Afrika kwanza (Uzalendo), mambo mengine baadae.
 
Utakuta wewe ni kijana halafu unakishabikia chama kilicho madarakani kwa miaka 60 sasa.
Chama kilicho madarakani miaka 60 kina shida gani? China inapomtangaza Rais kua wa maisha hujui kuna watu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujua kiongozi wao au chama vikoje,CCM pamoja na mabaya kadhaa maana siyo malaika bado ndo chama kina watu wana uwezo wa kuongoza nchi.

Haihitaji elimu yoyote kujua dhamira ya Rais aliyepo na haihitaji unabii wowote kujua mgombea uRais wa upinzani ni mtengeneza dili ili aingie apate vitu vikubwa viwili tu

1. Pesa za maisha yake na wakoloni

2. Sifa za "MIMI NILISHINDA CHAMA TAWALA NA KUA RAIS".

Sikiliza,nchi hii ina watu ambao MUNGU anawatazama kama watu wa mataifa mengine pia, hawezi kuruhusu mtu fedhuri mwenye tamaa na mpenda sifa,mwenye kutukana na kujaa gadhabu ili aongoze waTanzania,huyo mtu na wafuasi wake ni kundi la kihuni na hawaweza kushinda mpango wa MUNGU.
 
Ndio maana tumeaambia Ccm itaongoza kwa miaka miamoja ijayo

Ati hawa Chadema wanamwamini msaliti wa Nchi Lissu awaletee wabunge

Mtu yoyote anayejua kusoma na kuandika anaweza kuwa kiongozi wa nchi hii. Hayo maelezo yako mengine wapelekee ccm.
 
Utakuta wewe ni kijana halafu unakishabikia chama kilicho madarakani kwa miaka 60 sasa.
Nilichoandika hapo ni Ukweli ambao hauegemei upande wowote wala haupingiki. Tatizo kubwa kwako ni umekuwa mtumwa wa Chama chaka kiasi kwamba hadi umekosa uwezo kifikra, kuweza kutafakari vinginevyo. Hata hivyo sikushangai kwa sababu unatumia hisia zaidi kuliko akili na uwezo kujenga hoja zenye mantiki.
 
Kujua kusoma na kuandika ni kwa lugha yoyote.
Sasa mbona Magufuli Anajua kusoma kisukuma, kiswahili, Kiingereza,Kijerumani na kifaransa Bado mnawashwawashwa Kama mmekula pilipili za Mwendo kasi.Naendelea kusema zimebaki siku mbili za kumtaja Lissu kuwa atashinda Uchaguzi HASHINDI!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tumchague tundu lisu ili tuendelee kufurahia kuandika tutakacho kwa Uhuru wetu msimchague yule dikteta WA chato
 
Chama kilicho madarakani miaka 60 kina shida gani? China inapomtangaza Rais kua wa maisha hujui kuna watu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujua kiongozi wao au chama vikoje,CCM pamoja na mabaya kadhaa maana siyo malaika bado ndo chama kina watu wana uwezo wa kuongoza nchi.

Haihitaji elimu yoyote kujua dhamira ya Rais aliyepo na haihitaji unabii wowote kujua mgombea uRais wa upinzani ni mtengeneza dili ili aingie apate vitu vikubwa viwili tu

1. Pesa za maisha yake na wakoloni

2. Sifa za "MIMI NILISHINDA CHAMA TAWALA NA KUA RAIS".

Sikiliza,nchi hii ina watu ambao MUNGU anawatazama kama watu wa mataifa mengine pia, hawezi kuruhusu mtu fedhuri mwenye tamaa na mpenda sifa,mwenye kutukana na kujaa gadhabu ili aongoze waTanzania,huyo mtu na wafuasi wake ni kundi la kihuni na hawaweza kushinda mpango wa MUNGU.
Kwa hiyo Mungu ndio ameelekeza daftari la wapiga kura lichezewe ili ccm ikae madarakani? Ni hivi, ccm sio chama cha kizazi hiki, na mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii. Tutampigia Lisu kura za kutosha, mjitangaze kibabe lakini mjue haitakuwa madarakani kwa ridhaa ya wengi. Enzi za ccm kuwa chama pekee chenye nguvu zilishapita.

Kenya hapo enzi ZA KANU kuna watu walikuwa wanapiga porojo hizo hizo eti hakuna chama kinaweza kuongoza Kenya zaidi ya KANU. Ila leo KANU haipo, na leo Kenya iko juu kiuchumi na kila kitu kuliko sisi Tanzania tulio chini ya ccm kwa shuruti. Kitu pekee tunawazidi Kenya ni ukubwa wa eneo na watu.
 
Sasa mbona Magufuli Anajua kusoma kisukuma, kiswahili, Kiingereza,Kijerumani na kifaransa Bado mnawashwawashwa Kama mmekula pilipili za Mwendo kasi.Naendelea kusema zimebaki siku mbili za kumtaja Lissu kuwa atashinda Uchaguzi HASHINDI!!!!!!!!!!!!!!!
Hashindi au hatatangazwa mshindi?
 
Chama kilicho madarakani miaka 60 kina shida gani? China inapomtangaza Rais kua wa maisha hujui kuna watu wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujua kiongozi wao au chama vikoje,CCM pamoja na mabaya kadhaa maana siyo malaika bado ndo chama kina watu wana uwezo wa kuongoza nchi.

Haihitaji elimu yoyote kujua dhamira ya Rais aliyepo na haihitaji unabii wowote kujua mgombea uRais wa upinzani ni mtengeneza dili ili aingie apate vitu vikubwa viwili tu

1. Pesa za maisha yake na wakoloni

2. Sifa za "MIMI NILISHINDA CHAMA TAWALA NA KUA RAIS".

Sikiliza,nchi hii ina watu ambao MUNGU anawatazama kama watu wa mataifa mengine pia, hawezi kuruhusu mtu fedhuri mwenye tamaa na mpenda sifa,mwenye kutukana na kujaa gadhabu ili aongoze waTanzania,huyo mtu na wafuasi wake ni kundi la kihuni na hawaweza kushinda mpango wa MUNGU.
ccm mna kipi cha kujilinganisha na china??? baada ya miaka 60, hata kutahiriwa kwenye baadhi ya mikoa ni kwa hisani ya USA, condom ni kwa hisani ya USA, nyerere alipinduliwa mkoloni muingereza ndo alimrudisha madarakani, ccm ingekuwa ina watu hao wenye uwezo bora nchi isingekuwa hapa ilipo. ccm ina watawala na sio viongozi, na ndiyo maana kila akija rais huyu ataacha vya aliyepita anaanzisha vya kwa kwake ili apige hela, kwa Magufuli kuna mayanga construction, huyu aligawa mali za serikali mpaka kwa hawara yake akampa nyumba ya serikali kwa bei ya kifisadi, huyu alinunua kivuko kibovu tena kwa hela nyingi, kivuko kina spidi ya konokono kuua soo watu wasiseme akawapa jeshi maana mambo ya jeshi hayahojiwi. kama ni kupiga deal magu ni fisadi mkubwa tu, huyu alivyo mshamba serikali yake imechukua mamikopo yenye riba kubwa za kibiashara anaacha mikopo ya riba nafuu.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Sio CCM sema dola(Polisi+tiss+tume+wakuu wilaya,mikoa,wakurugenzi)CCM ndio huenda wakashinda!
 
Nilichoandika hapo ni Ukweli ambao hauegemei upande wowote wala haupingiki. Tatizo kubwa kwako ni umekuwa mtumwa wa Chama chaka kiasi kwamba hadi umekosa uwezo kifikra, kuweza kutafakari vinginevyo. Hata hivyo sikushangai kwa sababu unatumia hisia zaidi kuliko akili na uwezo kujenga hoja zenye mantiki.
Kiukweli umeonyesha wazi kuwa CCM ndiyo Watanzania wenye kujua history Yao. Na ingawa hukutaja upinzani, lakini umetofautisha kama kwamba watanzania ambao ni CCM Kwa hisia yako ndiyo watanzania, na hawa wengine kama vile siyo wa Tanzania au waTanzania ambao hawajui histori yao.

kwako wewe je Lowasa, Slaa, Sumaye Kwa sababu wamerudi CCM basi ndiyo wanakuwa wazalendo? Au na mtu akienda nje ya CCM basi anaacha kuwa mzalendo?

Usisahau kuwa watanzania wote wapo pamoja ila kuna resistance struggle kuna watu au chama fulani kimegeuza Siasa kuwa ajira ya maisha.
 
Back
Top Bottom