The law state that "Everybody will continue in a state of rest or uniformly motion unless otherwise an external force act on it"
Kiswahili chake ni kwamba kila kitu kitaendelea kubaki katika hali...
Moto umewaka ndani ya ACT Wazalendo Kigoma kutokana na Azma ya Madiwani wote kumkataa Meya wa Manispaa . Usiku wa kuamkia tarehe 16.01.2020 wamejikuta viongozi wa kitaifa wakishindwa kuyamaliza na...
Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba...
Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na...
Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa.
Inaonekana watu...
Siioni kama CHADEMA ina hata tone la dalili ya kushinda!
Taasisi na vyombo vyote vya dola havipo upande wenu! Je, ni nani atakayesimamia na kuwapa huo ushindi mnaouta!?
Bendera zenu kila kona...
Mgombea wa chama cha Upinzani huko Usheli sheli (Seyshelles) bwana Wavel Ramkalawn leo ametangazwa mshindi wa kiti cha Urais na kumshinda Rais aliyekuwa akitetea kiti chake bwana Danny Faure na...
Nimemsikiliza Kwa Makini aliyekuwa Mwalimu wa Siasa CHADEMA, Bwana Fredrick Sumaye. Ameongea meeengi lakini itoshe Tu kusema kwamba kasema wanachadema Hawafundishiki Siasa.
Aidha, amemshangaa...
Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni"
Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu...
Ofisi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti inayojumuisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara zilizopo Mjini Shinyanga imenusurika kuchomwa moto na watu wasiojulikana...
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF
KILWA KUSINI-KIVINJE
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!
Haki ya Elimu...
Ndugu zangu nawasalim wote wakubwa kwa wadogo kupitia yule atupae pumzi.
Kichwa cha habari hapo juu chahusika na tukiwa tumebaki na siku mbili kuwapigia viongozi wetu tuwatakao, hivyo zingatia...
MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE
Na Emmanuel J. Shilatu
Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA"
KILWA- SOMANGA
Uvunjifu na ukiukwaji...
Menendez Introduces Resolution Calling on Government of Tanzania To Ensure Free and Fair Elections
Washington, DC — U.S. Senator Bob Menendez (D-N.J.), Ranking Member of the Senate Foreign...
UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI
1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.
Maalim Seif...
Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana.
Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya...
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.