Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi habari ya mapumziko?. Kama wote tunavyojua, Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani haijatoa ajira kwa walimu wapya. Enzi za Jakaya kila mtu aliyefuzu mafunzo ya ualimu...
34 Reactions
43 Replies
6K Views
KURA YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI,TAREHE 28 OKTOBA. Leo 09:30hrs 25/10/2020 Ni John Pombe Magufuli mwenye ridhaa ya Wananchi wa Tanzania, kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni hoja ambayo imegeuzwa na Wanasiasa kama mtaji wa kisiasa na huenda ikatumika kama agenda kuu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Kuna dalili ya kuelekea huko kutokana na jinsi Wanasiasa...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Mbowe amedai kuna Uvurugwaji Mkubwa wa daftari la wapiga kura. Ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba, kuna Mamilioni ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Mhe. Tundu Lissu niungane na mamilioni ya Watanzania kukukaribisha Nyumbani. Mapokezi makubwa na ya amani uliyoyapata leo kutoka kwa Wananchi na hasa CHADEMA ni ushahidi wa upendo kwako na salaam...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa upande wangu mimi ni kuzuia mambo ya siasa mikutano ya hadhara na kukubali kuwapokea mashehe wa uamsho kutoka Zanzibar waletwe huku Tanganyika, hivi mheshimiwa hawezi kujua mambo ya uwongo na...
3 Reactions
93 Replies
7K Views
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa...
60 Reactions
121 Replies
10K Views
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina...
7 Reactions
76 Replies
7K Views
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ambao Rais Magufuli aliahidi atashirikiana na Wananchi wengine kuujenga na akaanza kwa kuendesha harambee ya ujenzi wake akiwa Kanisani Chamwino...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
MWENYEKITI wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Shehe wa mkoa huo, Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa kidini kuacha siasa za chuki dhidi ya viongozi wa kitaifa katika...
4 Reactions
162 Replies
20K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema kwa miaka mitano ijayo wakipata ridhaa kutoka kwa wananchi watakata bima ya afya kwa kila Mwananchi...
2 Reactions
113 Replies
10K Views
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu. Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
21/10/2020 Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Kivukoni, Ilala CBD, 1 Shabaani Robert Str., 11101 Dar Es Salaam, S. L. P 63010, Tanzania. info@orpp.go.tz Mheshimiwa Msajili, YAH: UKIUKWAJI...
10 Reactions
324 Replies
27K Views
Dkt. Hussein Mwinyi yupo LIVE anajibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi. Barabara na uchumi mkubwa Amesema Swala la barabara Unguja na Pemba ni swala muhimu na pia wanapozungumzia...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100 Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom