Uchaguzi 2020 Chagua Seif Maalim Seif, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya AAFP

Oct 22, 2020
6
8
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA huyu, eneo la MWENGE, mbele ya iliyokuwa EPHATA Bank.

Ni akinaMAMA wengi wenye changamoto za kiUCHUMI kama huyu, wanahitaji BIMA ya AFYA kwao na familia zao.

Wanahitaji AJIRA za uhakika kwa VIJANA na WATOTO wao wanaomaliza ELIMU ya juu ili nao wafaidi jasho la damu watoalo katika kuwasomesha VIONGOZI wa baadaye na hivi punde wa TAIFA letu.

Ni HAKI yao kupatiwa MIKOPO nafuu na isiyo RIBA na uwezeshwaji kiuchumi.

AFP.JPG

Kwa hali ya SASA, mwanaMAMA huyu HAMUDU hata MILO 3 licha ya kufanya KAZI mwa bidii zote. NAULI ya daladala bado ni changamoto kwake, sisemi ya TAKSI au ....

Ni mwanaMAMA huyu akirejea nyumbani MAJI hakuna na kama yapo basi bili ya maji kwake ni mithili ya kutonesha kidonda chake cha UCHUMI duni na wa CHINI ambao bado anaishi nao,licha ya baadhi ya WACHACHE ndani ya jamii yake na nchi yake, KUINGIA uchumi wa KATI(Social and Economic Inequality).

Na hapo alipo SI hasha anasomesha watoto wake ambapo endapo watafika CHUO KIKUU, bado atalazimika MKOPO kwa kuilipia elimu ambayo kimsingi ni haki yake ya msingi.

KWANINI uendelee KUTESEKA kwa kuCHAGUA kwa mazoea!!?

#CHAGUA MABADILIKO KWA WOTE
#CHAGUA SEIF MAALIM SEIF
#CHAGUO BORA NA SALAMA KWA WATANZANIA
 
Safi maalim, msiwaige Chadema wale ni Wasaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hakika, Nashukuru kwa kuliona suala hili.

Tumedhamiria kwa dhati kufanya siasa za watu na maendeleo na si kukamiana.

We are in for a moderate political landscape and issues not individuals.
 
Mechi imeshaisha hii, asiiache hii I'd, aendelee hivi hivi, kisha 2025 atakuwa katupa hamasa. Anachofanya hapa ni kunenepeshea mbuzi mnadani.
Mkuu,Uchaguzi sio kwa ajili ya wagombea.Hata asipopata kura hata moja na ikatokea hajawa RAIS iwapo ana sera nzuri ni vyema tuziksikie na huenda tukazichukua na kuzifanyia kazi kama taifa.

Ndio maana ya mchakato huu.Kiongozi akiwa mbaya anayeathirika ni Mwananchi na kiongozi akiwa mzuri anayefaidika ni Mwanannchi.Hawa wagombea ni washirika katika mjadala wa maendeleo yetu.Tuwasikilize tuwaelewa tupate hamasa.
 
Mkuu,Uchaguzi sio kwa ajili ya wagombea.Hata asipopata kura hata moja na ikatokea hajawa RAIS iwapo ana sera nzuri ni vyema tuziksikie na huenda tukazichukua na kuzifanyia kazi kama taifa.Ndio maana ya mchakato huu.Kiongozi akiwa mbaya anayeathirika ni Mwananchi na kiongozi akiwa mzuri anayefaidika ni Mwanannchi.Hawa wagombea ni washirika katika mjadala wa maendeleo yetu.Tuwasikilize tuwaelewa tupate hamasa.

Uko sasa kabisa mkuu, azipeleke sera zake zikachanganywe na za CCM. Yeye hata awe na sera nzuri vipi, mvuto ni muhimu.
 
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA huyu, eneo la MWENGE, mbele ya iliyokuwa EPHATA Bank.

Ni akinaMAMA wengi wenye changamoto za kiUCHUMI kama huyu, wanahitaji BIMA ya AFYA kwao na familia zao.

Wanahitaji AJIRA za uhakika kwa VIJANA na WATOTO wao wanaomaliza ELIMU ya juu ili nao wafaidi jasho la damu watoalo katika kuwasomesha VIONGOZI wa baadaye na hivi punde wa TAIFA letu.

Ni HAKI yao kupatiwa MIKOPO nafuu na isiyo RIBA na uwezeshwaji kiuchumi.

Kwa hali ya SASA, mwanaMAMA huyu HAMUDU hata MILO 3 licha ya kufanya KAZI mwa bidii zote. NAULI ya daladala bado ni changamoto kwake, sisemi ya TAKSI au ....

Ni mwanaMAMA huyu akirejea nyumbani MAJI hakuna na kama yapo basi bili ya maji kwake ni mithili ya kutonesha kidonda chake cha UCHUMI duni na wa CHINI ambao bado anaishi nao,licha ya baadhi ya WACHACHE ndani ya jamii yake na nchi yake, KUINGIA uchumi wa KATI(Social and Economic Inequality).

Na hapo alipo SI hasha anasomesha watoto wake ambapo endapo watafika CHUO KIKUU, bado atalazimika MKOPO kwa kuilipia elimu ambayo kimsingi ni haki yake ya msingi.

KWANINI uendelee KUTESEKA kwa kuCHAGUA kwa mazoea!!?

#CHAGUA MABADILIKO KWA WOTE
#CHAGUA SEIF MAALIM SEIF
#CHAGUO BORA NA SALAMA KWA WATANZANIA
Hao watumoshi wapo wangapi?
 
Back
Top Bottom