Upo mpasuko kwenye dini, kamati za Amani ni mtego wa Ibilisi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kama kuna sehemu viongozi wa dini walipotea nikumsikiliza mwanadamu Mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka kuwaelekeza kuunda kamati za Amani.

Kamati ya amani ya jiji la Dar es Salaam ni moja ya kamati zilizokosa sifa na ueledi wakukemea maovu. Ni moja ya kamati zilizoendeshwa zaidi na wanasiasa kuliko msimamo wa imani wakimtanguliza Mungu.

Yalitokea matukio mengi na yanazidi kutokea matukio ya vifo na uvunjifu wa amani lakini kati yao ni kiongozi mmoja tu wa dini aliyeweza kusimamia ukweli.

Kwa kuwa walibeba agenda ya siasa wakaacha agenda ya neno la Mungu tunaanza kushuhudia mfarakano wanaoleta kwenye nafsi za waumini.

Bila toba ya kweli hakuna kiongozi Kati wale walioshiriki hizi kamati za Amani atakayetoka bila kujeruiwa nafsi. Msimchezee Mungu kwa kuwafumbia macho wanadamu, mmekosa sana, jitathiminini kwa namna mnavyotumika.

Si afya kiongozi wa dini kumezwa na watu wenye uchu wa madaraka, simamieni haki, litangazeni neno la Mungu, kemeeni maovu.
 
Swadakta! Haya ni maneno kuntu!

Halafu eti M/Kiti wa hiyo kamati ya Amani ni yule minalkafiruuna Al-Had Mussa

Kwa maelekezo ya waliompa uenyekiti huo kwa posho na maslahi ya kidunia wakampangia na dua ya kuwasemeza waislamu kwa jina la Yesu

Astaghfirullah L'aliyu l'adhwim!

Al-Hadi Mussa na genge lenu la BAKWATA maslahi na posho za kidunia zitakufikisheni wapi Ndg. Zangu mnampa Allah kisogo kwa maisha ya kupita tu

Na yule mzinzi mwingine anaejiita Sheikh Kipozeo mla mirungi mkubwa yule eti mhadhiri wa waislam anauhadhir gani habith mkubwa analeta comedy kwenye mimbar anahadhir matako ya wanawake tu mwenyewe anaita mizigo

Kipozeo akiwa mhadhir na Othman Maalim Awe nani sasa? wapuuzi kabisa mmepewa viposho hivyo mnajiweka mbele ya macho ya waumini eti wahadhiri, wahadhir gani vinjaa njaa wakubwa nyie

Kipozeo kutwa yupo kwenye matamasha ya Bongo flavor, kuna mhadhiri anashiriki huu ujinga acha njaa we mzee utaishia motoni ... ndio mana kuna wakati nakubaliana sana na ungozi wa madhehebu ya Shia huwezi kukuta wanashiriki upuuzi kama huu

Njaaa zitawapeleka motoni viongozi wa BAKWATA na laana ya Allah itawashukia msambaratishwe msipate pa kushika duniani wala akhera

Nipo pamoja na Sheikh Ponda kwa sababu kwa miaka mingi amekuwa mstari wa mbele kuwasemea waislam na emeingia kwenye matatizo mengi na serikali kwa sababu ya kusimamia haki za waislam ikiwemo kujeruhiwa kwa risasi

WALLAAAAAAAAAAHI AL-HADI MUSSA SALUM THIS TIME ALLAH HATOKUACHA SALAMA WEWE NA GENGE LA WANAFIKI WENZIO WA BAKWATA MUMEFANYA UNAFIKI MKUBWA SANA WA DHAHIRI SHAHIRI ILI KULINDA MATUMBO YENU NA SI KULINGANIA DINI YA ALLAH NA MAFUNDISHO YA MTUME

IN SHAA ALLAH WAISLAM TUNAMUOMBA ALLAH AMPE USHINDI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU KWA SABABU AMEBEBA MABALIKO YATAKAYO TUPA WAISLAM NJIA YA KUTIMIZA IBADA NA MASLAHI YETU KATIKA DINI YETU NA SI KUTIMIZA MASLAHI YA WAHUNI WACHACHE NA TAASISI YAO YA KINAFIKI YA BAKWATA

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER

20201018_145233.jpg

View attachment 1611115
 
Haya yote ni matokeo ya kuchanganya dini kwenye siasa matokeo yake sasa tunaanza kuhukumiana wakati hii ni siasa na kila mtu ana haki(bila kujali imani yake wala kabila lake) ya kuamua amchague mgombea gani maana wagombea wako wengi na kila mmoja ametoa sera zake,ila sasa tulipofikia ni kana kwamba muislamu hana tena uhuru huo wa kujiamulia amchague anayemuona yeye anafaa kinyume na Lissu.

Muislamu ambaye hamsapoti Lissu anaonekana ni muislamu mnafki katika dini yake,maana ni kana Kwamba kumchagua Lissu ni agizo la Allah hivyo hapo hakuna tena uhuru wa kumchagua mgombea mwengine ni kama dhambi,sasa hii ni hatari.
 
Leo hii tukianza kutukana na kuwaita kila majina mabaya masheikh kwa sababu za kutofautiana huku kwenye siasa hivi kweli hata kwenye masuala ya dini tutaweza kukaa na kuwasikiliza hao masheikh wanapozungumza maneno ya Mungu? Au ndio itakuwa tunaangalia kwanza haya mawaidha anatoa Sheikh Ponda au Sheikh wa mkoa?
 
Kama kuna sehemu viongozi wa dini walipotea nikumsikiliza mwanadamu Mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka kuwaelekeza kuunda kamati za Amani.

Kamati ya amani ya jiji la Dar es Salaam ni moja ya kamati zilizokosa sifa na ueledi wakukemea maovu. Ni moja ya kamati zilizoendeshwa zaidi na wanasiasa kuliko msimamo wa imani wakimtanguliza Mungu.

Yalitokea matukio mengi na yanazidi kutokea matukio ya vifo na uvunjifu wa amani lakini kati yao ni kiongozi mmoja tu wa dini aliyeweza kusimamia ukweli.

Kwa kuwa walibeba agenda ya siasa wakaacha agenda ya neno la Mungu tunaanza kushuhudia mfarakano wanaoleta kwenye nafsi za waumini.

Bila toba ya kweli hakuna kiongozi Kati wale walioshiriki hizi kamati za Amani atakayetoka bila kujeruiwa nafsi. Msimchezee Mungu kwa kuwafumbia macho wanadamu, mmekosa sana, jitathiminini kwa namna mnavyotumika.

Si afya kiongozi wa dini kumezwa na watu wenye uchu wa madaraka, simamieni haki, litangazeni neno la Mungu, kemeeni maovu.
Wameshaanza kufarakana na hii ni ishara kuwa hata utawala wanaoutetea umefitinika na kuanguka kwa utawala huu hakuepukiki, nimeshaonya mara nyingi humu kuwa Mungu hadhihakiwi kamwe na Mungu hachangii Utukufu wake na wanadamu. Hawa wanafiki wamefikia kufru ya kumpa mwanadamu daraja la Umungu .
 
Kamati za amani za mikoa zinaongozwa na maaskofu na masheikh wenye njaa na kiu kali, hawaangalii haki bali maslahi yao.

Ndio maana wanamkataza ponda asipige kampeni wakati huo huo wao wakipiga kampeni.
 
Wameshaanza kufarakana na hii ni ishara kuwa hata utawala wanaoutetea umefitinika na kuanguka kwa utawala huu hakuepukiki, nimeshaonya mara nyingi humu kuwa Mungu hadhihakiwi kamwe na Mungu hachangii Utukufu wake na wanadamu. Hawa wanafiki wamefikia kufru ya kumpa mwanadamu daraja la Umungu .
Utawala huu umefanya makufuru mengi Sana ya kumtukana Mwenyezi Mungu nae ameuondolea kibali unaenda kuanguka sababu ya kiburi na kupuuza maonyo
 
Swadakta! Haya ni maneno kuntu!

Halafu eti M/Kiti wa hiyo kamati ya Amani ni yule minalkafiruuna Al-Had Mussa

Kwa maelekezo ya waliompa uenyekiti huo kwa posho na maslahi ya kidunia wakampangia na dua ya kuwasemeza waislamu kwa jina la Yesu

Astaghfirullah L'aliyu l'adhwim!

Al-Hadi Mussa na genge lenu la BAKWATA maslahi na posho za kidunia zitakufikisheni wapi Ndg. Zangu mnampa Allah kisogo kwa maisha ya kupita tu

Na yule mzinzi mwingine anaejiita Sheikh Kipozeo mla mirungi mkubwa yule eti mhadhiri wa waislam anauhadhir gani habith mkubwa analeta comedy kwenye mimbar anahadhir matako ya wanawake tu mwenyewe anaita mizigo

Kipozeo akiwa mhadhir na Othman Maalim Awe nani sasa? wapuuzi kabisa mmepewa viposho hivyo mnajiweka mbele ya macho ya waumini eti wahadhiri, wahadhir gani vinjaa njaa wakubwa nyie

Kipozeo kutwa yupo kwenye matamasha ya Bongo flavor, kuna mhadhiri anashiriki huu ujinga acha njaa we mzee utaishia motoni ... ndio mana kuna wakati nakubaliana sana na ungozi wa madhehebu ya Shia huwezi kukuta wanashiriki upuuzi kama huu

Njaaa zitawapeleka motoni viongozi wa BAKWATA na laana ya Allah itawashukia msambaratishwe msipate pa kushika duniani wala akhera

Nipo pamoja na Sheikh Ponda kwa sababu kwa miaka mingi amekuwa mstari wa mbele kuwasemea waislam na emeingia kwenye matatizo mengi na serikali kwa sababu ya kusimamia haki za waislam ikiwemo kujeruhiwa kwa risasi

WALLAAAAAAAAAAHI AL-HADI MUSSA SALUM THIS TIME ALLAH HATOKUACHA SALAMA WEWE NA GENGE LA WANAFIKI WENZIO WA BAKWATA MUMEFANYA UNAFIKI MKUBWA SANA WA DHAHIRI SHAHIRI ILI KULINDA MATUMBO YENU NA SI KULINGANIA DINI YA ALLAH NA MAFUNDISHO YA MTUME

IN SHAA ALLAH WAISLAM TUNAMUOMBA ALLAH AMPE USHINDI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU KWA SABABU AMEBEBA MABALIKO YATAKAYO TUPA WAISLAM NJIA YA KUTIMIZA IBADA NA MASLAHI YETU KATIKA DINI YETU NA SI KUTIMIZA MASLAHI YA WAHUNI WACHACHE NA TAASISI YAO YA KINAFIKI YA BAKWATA

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER

View attachment 1611105
View attachment 1611115

ndio mana kuna wakati nakubaliana sana na ungozi wa madhehebu ya Shia huwezi kukuta wanashiriki upuuzi kama huu

Hapa ndipo ulipoharibu huu ujumbe wako, sijui unawajua vzr mashia ama unawasikia kwa watu tu
 
Kamati za amani ni za dini, vyama au serikali? Kazi zake ni zipi?
 
Swadakta! Haya ni maneno kuntu!

Halafu eti M/Kiti wa hiyo kamati ya Amani ni yule minalkafiruuna Al-Had Mussa

Kwa maelekezo ya waliompa uenyekiti huo kwa posho na maslahi ya kidunia wakampangia na dua ya kuwasemeza waislamu kwa jina la Yesu

Astaghfirullah L'aliyu l'adhwim!

Al-Hadi Mussa na genge lenu la BAKWATA maslahi na posho za kidunia zitakufikisheni wapi Ndg. Zangu mnampa Allah kisogo kwa maisha ya kupita tu

Na yule mzinzi mwingine anaejiita Sheikh Kipozeo mla mirungi mkubwa yule eti mhadhiri wa waislam anauhadhir gani habith mkubwa analeta comedy kwenye mimbar anahadhir matako ya wanawake tu mwenyewe anaita mizigo

Kipozeo akiwa mhadhir na Othman Maalim Awe nani sasa? wapuuzi kabisa mmepewa viposho hivyo mnajiweka mbele ya macho ya waumini eti wahadhiri, wahadhir gani vinjaa njaa wakubwa nyie

Kipozeo kutwa yupo kwenye matamasha ya Bongo flavor, kuna mhadhiri anashiriki huu ujinga acha njaa we mzee utaishia motoni ... ndio mana kuna wakati nakubaliana sana na ungozi wa madhehebu ya Shia huwezi kukuta wanashiriki upuuzi kama huu

Njaaa zitawapeleka motoni viongozi wa BAKWATA na laana ya Allah itawashukia msambaratishwe msipate pa kushika duniani wala akhera

Nipo pamoja na Sheikh Ponda kwa sababu kwa miaka mingi amekuwa mstari wa mbele kuwasemea waislam na emeingia kwenye matatizo mengi na serikali kwa sababu ya kusimamia haki za waislam ikiwemo kujeruhiwa kwa risasi

WALLAAAAAAAAAAHI AL-HADI MUSSA SALUM THIS TIME ALLAH HATOKUACHA SALAMA WEWE NA GENGE LA WANAFIKI WENZIO WA BAKWATA MUMEFANYA UNAFIKI MKUBWA SANA WA DHAHIRI SHAHIRI ILI KULINDA MATUMBO YENU NA SI KULINGANIA DINI YA ALLAH NA MAFUNDISHO YA MTUME

IN SHAA ALLAH WAISLAM TUNAMUOMBA ALLAH AMPE USHINDI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU KWA SABABU AMEBEBA MABALIKO YATAKAYO TUPA WAISLAM NJIA YA KUTIMIZA IBADA NA MASLAHI YETU KATIKA DINI YETU NA SI KUTIMIZA MASLAHI YA WAHUNI WACHACHE NA TAASISI YAO YA KINAFIKI YA BAKWATA

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE KINJEKETILE BULLET CONDENCER

View attachment 1611105
View attachment 1611115
Othman maalimu ....Huyu kweli mhadhiri ukisiliza mafundisho yake hata wasiokuwa waislam tunamwelewa vizuri huyu mtu ..Mungu ampe maisha marefu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nikafikiri mpambania dini kumbe unapambania dhehebu!!? Sasa tukikuchambulia unegativity wa hao unaowapa 'shout out' ndo kabisaa kama una moyo wa kweli wa kupambania dini ya Allah hutawatamani tena

Hilo ni moja lakini jambo la pili lugha za watu hizi waachieni wenyewe huko

THE BULLET PROOVE (grammar and spelling)
THE BULLET PROVE (grammar)
THE BULLET PROOF
 
Back
Top Bottom