Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba kufunga kampeni Oktoba 27 Dar, viwanja vya Mwembe Yanga

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
233
250
FB_IMG_1602788613786.jpg

PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwembe Yanga vilivyopo wilaya ya Temeke.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,475
2,000
View attachment 1611143

PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwembe Yanga vilivyopo wilaya ya Temeke.
Hivyo bado anapigania roho yake kwenye kinyang'anyiro cha urais? Anapoteza muda. Hata akiachwa peke yake hawezi kushinda. Watu watapigia kivuli badala ya Propumba.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,320
2,000
Hata Lipumba kumbe bado ana nyomi la kufa mtu!

1.John Magufuli
2.Tundu Lissu
3.Prof Ibrahim Lipumba
4.Benard Membe
5.Hashim Rungwe Spunda
 
MtuHabari

Senior Member
Oct 16, 2020
133
500
Najaribu kujiuliza, nimetoka na gari yangu nyumbani kwenda sokoni kisha baada ya kuteremka nagundua kuwa kumbe Niko uchi na narudi kwenye gari milango imeji lock kwa ndani haifunguki!
Ndio taharuki anayojisikia sasa hivi Profesa wetu, hata hivyo namsifu kwa ujasiri wa kuhimili machungu hayo
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,301
2,000
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,401
2,000
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Upinzani ulikua dhaifu mwaka 2000 na 2005 kuliko wakati wowote ule!! Maana CCM ilishinda kwa landslide. Ila chaguzi zingine zote upinzani umekua imera zaidi na unaweza ona kila chaguzi iliyopita kura za upinzani ziliongezeka.

Msitake kujenga mazingira ya kuiba hapa kma mnajiamini Acheni ujanja ujanja na mruhusu kura ziamue mshindi
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
3,775
2,000
Mleta post hata ungekaa kimya bila kuleta uzi,ingekusaodia sana,
Vipi wenzenu watawasaisia kujaza watu?
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
36,816
2,000
Hivyo bado anapigania roho yake kwenye kinyang'anyiro cha urais? Anapoteza muda. Hata akiachwa peke yake hawezi kushinda. Watu watapigia kivuli badala ya Propumba.
Lipumba mshipa wa aibu ulishakatika...
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,471
2,000
Hata Lipumba kumbe bado ana nyomi la kufa mtu!

1.John Magufuli
2.Tundu Lissu
3.Prof Ibrahim Lipumba
4.Benard Membe
5.Hashim Rungwe Spunda
1. Diamond, Magufuli, Ally Kiba, nk

2. Tundu Lissu

3. Rungwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom