Wanawake ndiyo watatuletea mabadiliko? Msikie huyu Mwanamama wa Zanzibar

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,390
17,981
Huyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli kama hizo.

Naona miaka hii ya 2000 wanawake ndiyo watakuwa viongozi wa mapinduzi dhidi ya tawala za kidekiteta. Haya yameonekana Sudan wakati wa kumtoa Dikteta Omar Bashir mwaka jana ambapo Bi Aala Salah mwenye umri wa miaka 22 ndiye alikuwa chachu ya maandamano.

Keshazeeeeka hana jipya asiwaingize Mabinti kwenye ujingaaa tunawahitaji bado Vigoli
 
Naona Zanzibar wameenda kuangalia majina yao vituoni kama yapo lakini huku Bara sijasikia kama mmeangalia majina yenu vituoni.
 
Back
Top Bottom