Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atakapopata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, serikali yake itashirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Kimataifa ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akiongea na vijana wa UVCCM Shirati, Kabwana, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mara Ndg. Samwell Kiboye almaarufu kama Namba tatu, adai kwamba, hawezi kujibizana na watu waliofika bei, watu waliouza nafsi...
55 Reactions
84 Replies
13K Views
Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa. Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Misingi mizuri iliyojengwa na waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume , imesababisha Wananchi wa Tanzania kwa muda...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwenye kampeni za CCM baada ya wasanii kupewa zawadi yakofia leo mzee wetu Lowassa amekabidhiwa zawadi ya kofia kutoka kwa mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM ndugu JMP Kampeni zinaendelea
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Canada’s Barrick Gold (TSX: ABX) (NYSE: GOLD) said on Friday it has been granted 10 new exploration licenses in Tanzania, where it was until recently locked in a long-dragged out conflict over...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kushauri kuwa nafasi hizi nyeti ziwe zinateuliwa kikatiba na watu wanaoweza pima uelewa na uwezo kiakili kwa nafasi hizo. Hizi ni nafasi nyeti sana lakin kwa upande wa polisi hali...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo...
49 Reactions
135 Replies
15K Views
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana. Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani. Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja...
48 Reactions
80 Replies
9K Views
Wanabodi,Siku nne kabla ya uchaguzi ngome zetu wana CCM hasa vijijini zimechakazwa na kutikiswa na Tundu Lissu. Wilaya ya Tunduru Ruvuma, Mambo sio mambo ni ngome yetu wana CCM lakini wananchi wa...
16 Reactions
106 Replies
7K Views
..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mgombea Udiwani kupitia ACT Wazarendo kata ya Kinyerezi Ndugu Albert Nyange arudi CCM leo Tarehe 24/10/ 2020, Tukio hilo limetokea katika kampeni za lala salama za mgombea wa CCM Kata ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa. Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo . Maji ni hitaji la...
16 Reactions
31 Replies
3K Views
Mgombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema katika uongozi wa serikali watajali makundi maalum ambayo ni wanawake, watoto, wazee, walemavu na walioathirika na...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kutumika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali...
12 Reactions
84 Replies
13K Views
CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala. Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa...
25 Reactions
87 Replies
10K Views
Back
Top Bottom