Uchaguzi 2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

Mzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...

Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Hadi Chato town hawamtaki thus kapiga biti mawakala wa chadema kuapishwa hajawahi shinda chochote bila kubebwa
 
Watu wa Karatu huwa wana elimu ya uraia ya kutosha, Hakuna watu wenye elimu ya Urai ya kutosha kama karatu
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.

Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
 
Siku zingine utumie Akili kidogo kwani Kihistoria CCM hupata 'taabu' mno hapo Karatu hivyo Kumtumia Dk. Slaa Kuwavutia Watu ni 'Mtaji' tosha tu.
 
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.

Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
IMEKAA POA SAANA KWANI NAYE NI MWANASIASA MAKINI SAANA
 
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.

Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Mkuu ungetulia ama dakika 5 ungeelewa pumba ulizoziandika

Unauliza "eti wananchi wananufaika vipi na ubalozi wa mtu"

Balozi ni muwakilishi wa nchi yetu ughaibuni, hivyo likitokea lolote lihusulo nchi yetu huko aliko litapitia kwake

Hii ni sawa na kusema yeye ni muwakilishi wetu

By the way kama kampeni za Magufuli hazikufurahishi wewe wala kukukuna jaribu kuchek na mgombea mwingine unayemkubali ukamskilize kwakua wagombea ni zaid ya 10
 
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.

Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Tulieni dawa iwaingie vizuri kunako.
 
Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Back
Top Bottom