1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya...
KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA.
TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON.
1. KWANINI CCM WAMESHINDA?
Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi.
Tuanze na MATOKEO Chanya:
CCM ndio...
Amezaliwa ndani ya muungano, ameishi Zanzibar na Bara, alikuwa mbunge Bara na Zanzibar, na amekuwa Waziri wa Wizara ya Muungano. Ni mtu sahihi sana kuinganisha vema Unguja na Pemba kisha Zanzibar...
Habari za Jioni hii Watanzania
Nawashauri viongozi wa CHADEMA wampe baraka zote Mbunge wa Nkasi, pamoja na kuwateua Wabunge wa Viti Maalum.
#1. Mwaka 2015, Chama cha CUF walisusia Ubunge na...
Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia.
Moja ya njia ya kupinga dhuluma...
Mfanano wa chaguzi hizi mbili:
1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao..
2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni...
The overall macroeconomic performance remains strong with a high rate of growth and a low rate of inflation. Real gross domestic product (GDP) growth is projected at 7% for 2015. From the supply...
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano
Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF...
Kwa kweli kama kuna siku nimefarijika ni jana tarehe 16 July 2020. Hii ni siku ya historia kubwa kwetu sisi wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania.
Nimefurahi kuona kuwa katika usiku wa giza totoro...
Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020 kunakauli nyingi zilikuwa zinaongelewa vibaya kuhusu upinzani moja wapo ni hii "uwepo wa vyama vya upinzani kunachelewesha maendeleo".
Uchaguzi umekuja wananchi...
Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika...
POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA
Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao...
Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo
Mfano wa hizo thread...
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo...
TAARIFA KWA UMMA:
Ndugu wanahabari!
Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo Leo tena tunapenda kuongea na Umma wa Watanzania kupitia kwenu.
Wiki moja iliyopita tulikutana...
Hakukuwa na Uchaguzi - 13 Wameuawa, 130 Wamejeruhiwa, 120 Wamekamatwa na Polisi, Mmoja AMEBAKWA 14 Wametekwa Mpaka Sasa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu
HOTUBA YA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KWA...
Niende moja kwa moja.
Moja ya sababu zilizotolewa na mkubwa katika wakati wa kampeni ni kuwa wapinzani wanakwamisha maendeleo kwenye majimbo.
Pia sifa ya chama kupata wabunge wa viti maalumu n...
Naam! Naipongeza serikali ya ndugu zetu wakenya kwa kutambua umuhimu wa kuondoa kero za wananchi wao wanazopata kila siku ya Mungu kwenye misongamano ya magari barabarani kwa ku-introduce Commuter...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu ambavyo ni CCM na CHADEMA ndio vyenye sifa ya kupata wabunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.