Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu ambavyo ni CCM na CHADEMA ndio vyenye sifa ya kupata wabunge wa...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje. Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ghafla umezuka wema kutoka kusikojulikana kuwaomba CHADEMA wawasilishe majina ya wabunge wa viti maalum ili wajumuishwe kwenye mchakato wa uapishaji. Hii inaogopesha! Ni wiki moja tu imepita...
3 Reactions
2 Replies
808 Views
Habari Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA. Tumekuja mpaka 2020...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inatarajiwa kutoa orodha ya wabunge wa viti maalumu katika Bunge la 12 la Tanzania. Bunge la 11 la Tanzania lilikuwa na wabunge 113 wa viti maalumu. Katibu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaonifuatilia humu wanajua mimi ni CCM. Lakini ni ile iliyokuwa CCM ya Mwalimu (RIP mzee wetu), siyo hii CCM ya sasa iliyojaa ulaghai mtupu. Kutokana na CCM kukengeuka, nimejikuta (siko peke...
18 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais ameandika katika ukurasa wake wa Instagram.. NASIKITIKA kuwajulisha kuwa Dada wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi...
16 Reactions
437 Replies
85K Views
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA. Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe...
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Poleni wanachama tajwa kwa yaliyowapata na hongeleni wengine kwa ushindi. Baada ya kushindwa uchaguzi chama tajwa kiliitisha maandamano yasiyo na kikomo. Maandamano hayo yalifeli kwasababu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
KUYABHULA ni neno la kinyamwezi linalomaanisha namna mchawi anavyojiumbua mwenyewe baada ya kula nyama ya mtu. Nilidhani KUYABHULA hutokea baina ya mtu na mtu kumbe hata kisiasa mchawi anaweza...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo. Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna...
31 Reactions
314 Replies
22K Views
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie...
56 Reactions
266 Replies
25K Views
2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa utaifa iendelee! December 9, 2020, taifa letu litasherehekea miaka 59 ya uhuru. Katika hicho kipindi cha miaka 59, waasisi wa taifa hili...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Mahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu...
6 Reactions
250 Replies
53K Views
Habari wanaJF, Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga...
32 Reactions
316 Replies
43K Views
Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao" Kwanini Tundu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo...
8 Reactions
52 Replies
9K Views
Back
Top Bottom