Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda.
Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu...
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa...
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.
Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
Habari wadau,
Nimeona nitoe mawazo yangu juu ya hiki kitu wanachokifanya Chadema sababu now ni kama hakina madhara makubwa kivile Ile huenda story ikawa mbaya baadae kwa serikali na Chadema...
Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu
=======
WAKATI Mwanasheria Mkuu wa Serikali mteule, Dk. Adelardus...
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....
Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil...
Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimesema kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumekuwa na mwamko zaidi kwa upande wa wanawake ndani ya chama hicho, ambapo kati ya...
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV Prof. Mukandara alikuwa anaelezea kuhusu Matokeo ya awali kuhusu utafiti wake/wa REDET.
Prof. Mukandara anasema kuwa katika utafiti wake...
Spika Ndugai amesema haya,
Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri...
Nalifananisha bunge la Ndugai linaloanza leo sawa na lile bunge la katiba baada ya UKAWA kususia wakiongozwa na Prof. Lipumba.
Tutegemee mambo mengi mazuri na mengi ya kushangaza lakini zaidi ni...
Mbunge mteule wa Jimbo la Mtwara Vijijini kupitia chama cha CUF, Shamsia Azizi Mtamba amesema hakupata kauli yoyote ya kumzuia kuapa kuwa Mbunge.
Amesema ana baraka zote kutoka kwa Chama chake na...
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.
Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa...
Wakuu Mimi niko mkoa wa Mara huku sirari mpakani na Isibania jirani kabisa na Kenya.
Kwa utafiti Wangu Mkoa huuu wagombea wa CCM kwenye majimbo yote wana kazi ngumu sana kuliko mikoa yote hapa...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa...
Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa.
Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais.
Hivyo hivyo...
Nakumbuka sababu zilizotolewa za kusitisha Bunge live ziilikuwa ni pamoja na maelezo kuwa awamu hii ni awamu ya kubana matumizi na hivvyo Bunge live halitakuwepo tena kwani ni gharama kubwa na pia...
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba.
Nyumba ya diwani huyo imeungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.