CCM na Yanga SC: Si mmevuna mlichotaka iweje mnateseka? Tuacheni tupumzike kidogo

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,264
12,291
Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo

Mfano wa hizo thread ni
Mzee shomari---------
Mzeee mgaya anasema----
Hanspope sio -----------
Marefa wa Bongo ----
Ushauri wangu kwa CHADEMA ----
Na nyinginezo

Mytake;
Sisi wanachama wa CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na viongozi wetu hatuujui uchaguzi huu na hatuna mda nao, tumewaachia bunge na Baraza la wawakilishi ili mlete maendeleo

Pia sisi mashabiki wa simba tumekubali matokeo na tukifanyacho ni vikao vya ndani kujiuliza tunaenda kufanya nini CAF sio jukumu lako
 
CCM watu wa ajabu sana, wamekwapua bakuli la nyama..wamekula wameshiba leo hii wanarudi huku wakicheua eti tuongee... useless!!

Watu wanauguza majeraha hawana muda..kama ni kushiba ushashiba sasa unateseka?? Unahangaika?
 
yanga wapi wamezungumzia ijinga wa mikia,timu iliyo papaswa mara 2 ina uhalali gani wa kusema imeonewa. timu imekoswa mara kibao bado ina amini ni timu ya ushindi
 
kama kuna mtu wa kuamua hatma ya maisha ya wagombea wa cdm na aseme neno,lakini kama hatima za maisha yao ziko mikononi mwao wenyewe msiwasemee,bakizeni maneno.
 
yanga wapi wamezungumzia ijinga wa mikia,timu iliyo papaswa mara 2 ina uhalali gani wa kusema imeonewa. timu imekoswa mara kibao bado ina amini ni timu ya ushindi
Naona ushaanza kuongea kwa makalio
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom