Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,566
2,000
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.

By JJ MANYIKA
Screenshot_20201108-083029_Twitter.jpg
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,094
2,000
Nyie ndo vichaa kabisa, wamekosa ubunge kina mbowe, mdee, nk ndo mgomee wengine waliopata kuingia bungeni? Chadema ni wabinafsi sana, nimempenda yule mbunge wa nkasi hajakubaliana na unafiki wa hawa jobless kwa miaka mitano, goja waonje joto la jua, nabariki hata NEC ikighushi sahihi watakaoteuliwa nendeni msisikilize maneno ya kina Mnyika wao wanalipwa hela za ukatibu mkuu, wala kina lissu na mbowe na walijua wakapeana vyeo mapema kabsa.
Rudia kuisoma tena hii hoja yako labda utaielewa.
 
bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,635
2,000
Nyie ndo vichaa kabisa, wamekosa ubunge kina mbowe, mdee, nk ndo mgomee wengine waliopata kuingia bungeni? Chadema ni wabinafsi sana, nimempenda yule mbunge wa nkasi hajakubaliana na unafiki wa hawa jobless kwa miaka mitano, goja waonje joto la jua, nabariki hata NEC ikighushi sahihi watakaoteuliwa nendeni msisikilize maneno ya kina Mnyika wao wanalipwa hela za ukatibu mkuu, wala kina lissu na mbowe na walijua wakapeana vyeo mapema kabsa.
Hasira za nini nenda wewe
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,831
2,000
Nyie ndo vichaa kabisa, wamekosa ubunge kina mbowe, mdee, nk ndo mgomee wengine waliopata kuingia bungeni? Chadema ni wabinafsi sana, nimempenda yule mbunge wa nkasi hajakubaliana na unafiki wa hawa jobless kwa miaka mitano, goja waonje joto la jua, nabariki hata NEC ikighushi sahihi watakaoteuliwa nendeni msisikilize maneno ya kina Mnyika wao wanalipwa hela za ukatibu mkuu, wala kina lissu na mbowe na walijua wakapeana vyeo mapema kabsa.
Wabinafsi ni wale waliotumia dola kujitangazia ushindi na kupora haki za wengine kwa manufaa yao.
 
Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
1,498
2,000
1. Kamati Kuu @ChademaTz haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum mpaka sasa

2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.

3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha @TumeUchaguziTZ ifanye uteuzi haramu na @bunge_tz likabariki.

By JJ MANYIKA View attachment 1621903
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge

Hiki chama kina ubinafsi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom