Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa. Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais. Hivyo hivyo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nakumbuka sababu zilizotolewa za kusitisha Bunge live ziilikuwa ni pamoja na maelezo kuwa awamu hii ni awamu ya kubana matumizi na hivvyo Bunge live halitakuwepo tena kwani ni gharama kubwa na pia...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua...
20 Reactions
148 Replies
19K Views
Awali niliamini Job Ndugai atapita bila kupingwa kwa sababu hana mpinzani. Kumbe nilikosea, amepigiwa kura za ndiyo na Hapana. Ikumbukwe jimboni kwake Kongwa, Ndugai alipita bila kupingwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
1 Reactions
1 Replies
889 Views
Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana, na tayari alisha apishwa Rais. Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani, Lissu anadai kuna njama dhidi ya uhai wake, acheni hàyo. CCM ni chama...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji". Msemo huo una maana...
28 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted...
48 Reactions
369 Replies
30K Views
Aida Khenan mbunge mteule wa Nkasi amesema, yeye ni mbunge pekee aliyetangazwa na katika mkoa wake amepata madiwani 10. Lakini amesema amesikia kwenye mitandao kuhusu msimamo wa chama chake...
23 Reactions
269 Replies
22K Views
BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa...
13 Reactions
207 Replies
21K Views
Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii. Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge. Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Nadhani tunajua Vodacom Tanzania inamilikiwa na Vodacom group of South Africa ina Vodafone UK ana share Vodacom group. Sasa suala la Vodacom Tanzania kutumika kuminya Demokrasia limeshatua kwa...
53 Reactions
96 Replies
12K Views
"Magufuli Akishinda Tena Urais, Naacha Mageuzi na Kurudi Kijijini Kwangu Kulima": Nasaha za Ndugu Antony Kalisti Komu kwa Wanasiasa Vijana. Na Ado Shaibu Juzi, mimi na Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi...
13 Reactions
79 Replies
8K Views
Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu. Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa. Waziri Mkuu...
23 Reactions
147 Replies
15K Views
Hili ni angalizo tu. China South Africa India Russia Turkey Hizi nchi tuna uhusiano nao mwema sana na tuko tayari kushirikiana nazo! Tukae kimya....
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Napenda kujua aliko huyu mwamba , wakati wa uchaguzi wa kumpitisha mgombea wa CHADEMA huyu jamaa alikuwa Moto Sana alikuwa talk of the town , lakini ghafla bin vuu baada ya kutupwa nje akapotelea...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika Mkutano uliofanyika jana katika viwanja vya Temeke Mbunge wa Arusha mjini Godbless aliwashangaa Watanzania kwa ujasiri wa kuchoma mote wezi wa kuku na simu huku wakiwaacha mafisadi...
4 Reactions
205 Replies
31K Views
Wana CHADEMA wenzangu kabla ya yote niwakumbushe nini kilitokea kwenye ule mchakato wa katiba mpya pale Dodoma kwenye Bunge la Katiba, laiti tungekubali japo nusu ya mapendekezo ya ile katiba...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom