Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile.
Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na...
Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba...
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.
Naona baada...
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho.
---
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati...
Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao
Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye...
KWA WALE WAFUATILIAJI WA SIASA ZA MAGEUZI NCHINI TANZANIA ZA KUTETEA HAKI SAWA NA KUPINGA UFISADI.
Baada ya kufatilia siasa za upinzani tangu mwaka 1995 hadi leo hii...
Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi.
Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta...
Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao. Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania. Hili ni...
Ndugu zangu tangu baada ya uchaguzi nchi yetu inapitia kipindi kigumu watu wanauawa kinyama mchana kweupe kwa sababu za kisiasa , kuchomeana makazi na kutekana.
Kibaya zaidi wenye mamlaka wanadai...
Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya...
Niende moja kwa moja Kwenye mada!!
Sote tunakumbuka Trump alituwekea Travel Ban kwa wa Tanzania wanaoshiriki Kwenye DV Lottery. Kuna tetesi kwamba ujio wa Biden White House pamoja na mambo...
Wakuu habari zenu,natumai hamjambo.
Naomba niende kwenye maada yangu,nidhahili kuwa mwenyekiti wa chadema maji kwa sasa yako shingoni na kuna namna anajutia kwanini aligombea uenyekiti wa CHADEMA...
Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani.
Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo...
Ni "Shikwambi" au Shinda kwa mbinu zilizoboreshwa na za kisasa zaidi kwa kutekeleza ilani ya ccm kwa kishindo
Tumeshawapiga Shikwambi sasa tunajenga nchi
Ni dhahiri shahiri uchaguzi umekwisha...
Mtikila sio jina geni kwa wale walio anza kufuatilia siasa za nchi hii tokea wakati wa awamu ya kwanza.
Ni mwanasiasa aliyekumbana na misukosuko mingi ya kesi na hata kifungo gerezani kwa...
Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona)...
Ni karibia wiki mbili sasa tokea huduma za mtandao zifungwe bila sababu yoyote ya msingi.
Kwa watu wasio na uelewa, iwe maafisa wa Serikali, chama tawala na huyo alieagiza kuzima huduma za...
IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS.
MATUKIO YANAYOFANYIKA.
Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo;
✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21.
✍🏽Ukaguzi wa gwaride.
✍🏽Salaamu kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.