Kwani wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchaguliwa kwa utaratibu gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
 
Eehh weee Mama tuondolee shobo hapa..nenda wewe ukawe mbunge wa Viti Maalum pamoja na Khadija Kopa, Shilole, Zuchu, Wema etc etc badala ya chadema..
Tuondolee kelele hapa na uzi wako uliochina.
 
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
We tulia huko huko. Achana na ya Chadema. Ila mjue ajira yenu sasa na ya Musiba iko kwaajili ya Chadema. Mkatae msikate ndo ilivyo. So ombeni sana Chadema wapeleke watu ili na nyie muendelee kulipwa.
 
Viti maalumu CCM walioko bungeni wawe makini na Ndugai maana ni mgonjwa!Kinga ni bora kuliko tiba!

Waulizeni wenyeji juu ya huyu mgonjwa ghali zaidi duniani!Anatembelea uzi!
Afadhali ugonjwa wa spika una dawa. Wako wewe hauna dawa na unaishi kwa matumaini tu. Pendekezo.; kula matunda na kupumzika vizuri, utaishi kwa muda mrefu kidogo.
 
Viti maalumu chadema huchaguliwa kwa utaratibu wa kuchapisha kura feki Jamana na kuwapatia uvccm wazipeleke kwenye vituo vya kupigia kura.

Ikishindikana njia ya kura feki, huwa ushindi unaporwa kwa nguvu. Upo hapo?
 
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
Mambo ya Ngoswe mumwachie Ngoswe mwenyewe.
 
Afadhali ugonjwa wa spika una dawa. Wako wewe hauna dawa na unaishi kwa matumaini tu. Pendekezo.; kula matunda na kupumzika vizuri, utaishi kwa muda mrefu kidogo.
Nani kakwambia una dawa?Huyu jamaa miaka mitano akitoboa ni bahati maana anatembelea uzi tu!
 
Huu umbea kapige na Ndugai bungeni mlikojazana kama maembe sokoni.
 
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
Mambo ya cdm achana nayo
Mbona mshawa maliza wasi wasi nini tena

Ova
 
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.

Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?

Maendeleo hayana vyama!
We babu huwa hupumziki?
 
Back
Top Bottom