Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
 
Kamanda tunapoowaambia hakuna oganaizesheni mnatukana,mnasema sio lazima kuwa na ofisi siasa ni imani.Hivyo ni vyama vya mkononi,sasa hapo ni kwenye majiji je vijijini?
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT.

Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.

CHADEMA hawana Mbunge alienguliwa, angalau kura za Lissu zingelindwa. ACT Diwani hana wakala.

Nimekata tamaa kama ndiyo hivi.
 
Mnyika kazi ya Ukatibu mkuu imeshamshinda

Back
Top Bottom