Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,256
219,479
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .

Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika

Ratiba ya Mgombea Urais Oktoba 16, 2020 ( 640 X 640 ).jpg


========

Wananchi wa Kata ya Puge jimbo la Nzega Vijijini wasimamisha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu. Msafara wa Mhe. Lissu unaelekea Urambo na Tabora mjini kuendelea ratiba zake za mikutano ya kampeni leo Oktoba 16, 2020.
1602845737106.png
1602845749600.png
Subpost 2 - Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu ( ( 360 X 640 ).jpg


 
Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Mwenye chama DJ Mbowe baada ya uchaguzi anamuundia zengwe Mbelgiji maana anaweza kumpora chama mchana kweupee.
 
Back
Top Bottom