Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,923
- 8,314
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo
Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania
Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara
Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
=============
Maoni Zaidi

Ni ukweli uliowazi kuwa Mbatia anakwenda kuwa KUB uchaguzi wa mwaka huu hii ni kutokana na chadema sisi chama chetu kimefubaa na kukimbiwa tumebaki hatuna mtaji wa kutosha baada ya wanaharaki njaa kutukimbia na inavyoonekana kule Zanzibar ACT wazalendo watakuwa wapinzani wakuu na sisi huku bara NCCR Mageuzi kuchukua kiti hicho
Kosa kubwa tulilolifanya sisi kama chama ni kuruhusu wanaharakati kujaa na kuonekana ndio wapigania haki tukawathamini hao na kuwaacha wanasiasa ombi langu ni mzee Mbatia usikubali hayo yatokee na kuharibu upinzani hapa nchini.kina mdude.tundu.waitara.kigogo.fatuma.msigwa.mchage.lema .Jacob .Jericho bensaa8 na watu kama hao ni kelele tu mh Mbatia usikubal hili
Nakutakia kazi njema ya kujenga upinzani bora baada ya sisi chadema kuuchezea na kukimbia mijadala bungeni
Kukumweupe
Sent using Jamii Forums mobile app