Huyu jamaa alikuiwa mwalimu wa Sekondari Halmasauri ya Jiji Mwanza
Akaenda kusoma Masters ya Public Administration UDOM
Then akapata ajira ya kimagumashi ya kuwa afisa tarafa huko Geita Tarafa ya Geita mjini kama mtakumbuka kuna kipindi waliajiriwa maafisa tarafa wengi wana CCM kimagumashi bila kufanyiwa usahili sekretarieti ya ajira.
Akiwa huko Geita akabadilisa cheo (recatecorization) na kuwa Afisa Tawala ofisi ya DC Geita,
Baadae akahamisiwa tume ya madini kama afisa tawala.
Jamaa hana uwezo wa kwa namna yeyote kumzidi Mbowe kimsingi ni figisufigisu tu imefanyika.
Mnatakiwa kufahamu kwenye uchauzi kwenye nchi zetu hizi mwenye nguvu ni anayetangaza matokeo na wala sio waliopia kura,
Ndio maana mimi sikuhangaika hata kupia kura kwani kwa aina ya hawa wakurugenzi jinsi walivyochaguliwa nilijua kabisa nini watatangaza.
Upuuzi mtupu uliofanyika