Nimeshangazwa na Wananchi wanaobeza majibu ya Prof. Kabudi kwa nchi za Magharibi

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
8,912
2,000
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu, jana Palangamanda Kabudi amechafua hali ya hewa baada ya mawakala wa mabeberu na wanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboard kutoa povu kumjibu profesa kama wao ndio bunge la ulaya kule jamuhuri ya twitter yupo wakala:

1. Zitto 2. Maria sarungi 3. Haule madevu.

Kwa kweli watu hawa si wema hata kidogo kwa mustakabali wa nchi wamulikwe na waangaliwe vyema.

Mawakala hawa wanatoa kejeli na dhihaka nyingi wameshasahau kama nao ni Watanzania.

Yaani imewauma sana profesa mjuvi kuwajibu mabeberu sasa wao ndio wamekuwa ndio wenye uchungu kuliko mabalozi waliopo hapa mkizidi sana mtalala ubalozini bila ya sababu!
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
2,513
2,000
Hawa ni sampuli ya wale watu wanaotaka wakubamize, halafu wewe hupaswi kujibu chochote ili waseme umewaogopa. The only thing they have forgotten ni kwamba hii ni Tanzania nyingine kabisa. Kuna watu watakuja kuzikumbuka na kuziaprishieti nyakati hizi wakiwa wamechelewa sana. Mr Mzungu anakwambia, You can take that to the bank!
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,205
2,000
Baada ya profesa msomi sana mjuvi sana aliyewagaragaza mabeberu yaliokua wakitunyonya kwa kushirikiana na wezi waliopo hapa nchini watanzania wenzetu, kutuibia maliasili zetu ,jana palangamanda kabudi amechafua hali ya hewa baada ya mawakala wa mabeberu na mashoga na wanaharakati uchwara wa nyuma ya keyboard kutoa povu kumjibu profesa kama wao ndio bunge la ulaya kule jamuhuri ya twitter yupo wakala
1.Zitto
2.Maria sarungi
3.Haule madevu
Kwa kweli watu hawa si wema hata kidogo kwa mustakabali wa nchi wamulikwe na waangaliwe vyema,
Mawakala hawa wanatoa kejeli na dhihaka nyingi wameshasahau kama nao ni watanzania,
Yaani imewauma sana profesa mjuvi kuwajibu mabeberu sasa wao ndio wamekuwa ndio wenye uchungu kuliko mabalozi waliopo hapa mkizidi sana mtalala ubalozini bila ya sababu!
Acha ufala wako kwani wewe upo mbele ya keyboard? hata wewe upo nyuma ya keyboard unaandika ufala wa kujipendekeza kwa profeselii wa Olijino comedy kabudi mzee mjinga wa karne ushoga upo CCM ndiyo maana makonda Bashite alipiga kelele juu ya ushoga ni wabunge hao hao wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na kange lugola aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, uanaharakati uchwara unao wewe mwenye njaa ya uteuzi mpaka umejitoa fahamu zote, kabudi ni mbumbumbu juha zuzu hana ujuzi wowote zaidi ya kujaa unafiki uliotukuka, acha kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani, Tambua kuwa watanzania wameamka wanajua mnasaka uteuzi kwa njia haramu lazima mje na nyuzi za kila aina.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,205
2,000
Watanyoka tu,hii ndo serikali ya CCM iliyoimara,haiyumbishwi
Serikali imara huwa haiwabambikii kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kwa wapinzani na wala Serikali imara haibaki kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom