Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,722
Nimesoma hizi kauli mbili kinzani kati ya Waziri wa nje wa Sweden na Waziri wa nje wa Tanzania akijibu hakika nimebaki mdomo wazi.
Kauli za Kabudi zimekosa diplomasia na zinaonyesha ubabe ambao kiukweli hatunao hasa katika ukweli tulio ambiwa na Waziri huyo wa Sweden au mwenyekiti wa kamati ya bunge la EU.
Jee kiburi hiki ambacho alipata kukionyesha Mugabe sie kitatusaidia au ndio mwanzo wa mateso? Hivi Kabudi anajua madhara ya kuiita kamati ya Bunge LA Ulaya hooligans?