Maalim Seif anataka kuwa Chichidodo?

Pawa chilonda

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
355
413
Chichidodo ni aina ya ndege anayepatikana nchini Ghana. Kitu cha kipekee kuhusu ndege huyu ni kwamba anachukia sana kinyesi cha binadamu kwa nafsi yake yote, lakini chichidodo anapenda sana kile kinachotokana na kinyesi cha binadamu

Serikali ya zenji imetupa ndoano Maalim ikwepe usiwe kama chichidodo kumbuka vijana walopoteza maisha sababu ya huo uchaguzi damu bado mbichi Sana! Vidonda bado vibichiiii

Naomba nafsi yako isitawaliwe na ubinafsi.
 
Maalim Seif na Act kama watafanya huo ujinga wa kujiunga na serikali ya wamwaga damu waliowapora ushindi watakuwa wajinga sana na hata aminika tena na watanzania
 
Zitto ACT Wazalendo Maslahi mapana ya Wazanzibari na Watanganyika yako juu kabisa ya maslahi ya Maalim. Wapenda haki tunaamini Maalim na ACT watakataa kuwa sehemu ya ufedhuli. CCM wanaiba chaguzi tangu 1995. Baada ya kuiba wanatafuta makubaliano ya kinafiki ili waongoze kwa "amani". Ikifika uchaguzi mwingine, wanarudia kile kile. This cycle has to be broken. Now is the time.
Tabia mbaya,fitna na uchonganishi.Acheni Maalim ataamua mwenyewe.Maalim umri umeenda.Akikosa umakamu hana nafasi tena ya kufaidi chochote Zanzibar.
 
Nadhani ni issue ya kupima faida na hasara za kushiriki na kukaa nje. Nadhani wakae tuu nje hususan ukizingatia wawakilishi 4 hawasaidii chochote au kuleta mabadiliko yoyote katika chombo cha sheria. Bora kusimamia msimamo wa kutoyatambua matokeo na kujaribu njia zengine za kuhamasisha wahisani kueka vikwazo.

Mbinu zozote sina matumaini kama zinaweza kusababisha mabadiliko ya haraka kwa maana ya kurudiwa uchaguzi. Lakini zinaweza kueka mazingira bora uchaguzi ujao inshallah.

Njia ya kuleta mabadiliko ya haraka ni kutoa yale mapanga ya mapinduzi ya '72 ;)
 
IMG_20201121_134713.jpg
 
Hata mimi nashangaa. Wale watu waliomtoa Karume madarakani 1972 walikwenda wapi? Kizazi hicho cha Wazanzibari kiliishia wapi? Yaani 1995, waliiba. Ikaja 2000, 2005, 2010 bado hivyo hivyo, 2015 na leo 2020. Halafu wanaongoza mwanzo hadi mwisho!
Njia ya kuleta mabadiliko ya haraka ni kutoa yale mapanga ya mapinduzi ya '72
 
Hakuna ukombozi bila damu
Post #12 imemaliza kila kitu nimecheka kweli mpaka machozi yametoka hiyo picha.

2A7E0477-0BBC-4932-8C22-0452F478AE61.jpeg

Katika hao wananchi wanaochungulia dirishani huyo wa mbele ana plaster usoni; we endelea kuamini ukombozi bila ya kumwaga damu.
 
Chichidodo ni aina ya ndege anayepatikana nchini Ghana. Kitu cha kipekee kuhusu ndege huyu ni kwamba anachukia sana kinyesi cha binadamu kwa nafsi yake yote, lakini chichidodo anapenda sana kile kinachotokana na kinyesi cha binadamu

Serikali ya zenji imetupa ndoano Maalim ikwepe usiwe kama chichidodo kumbuka vijana walopoteza maisha sababu ya huo uchaguzi damu bado mbichi Sana! Vidonda bado vibichiiii

Naomba nafsi yako isitawaliwe na ubinafsi.
Hahaha jomba chochidodo ndio Nini, hivi nyinyi mnadhan atakula wapi.huyo mzee..mnataka afe na njaa..ACT yenyeee ndio imeshakufa, wabunge wote wamesusishwa na hivyo hakuna ruzuku..Zito Hana hela ya kuwalisha mibaba yote hiyo..
 
Hata mimi nashangaa. Wale watu waliomtoa Karume madarakani 1972 walikwenda wapi? Kizazi hicho cha Wazanzibari kiliishia wapi? Yaani 1995, waliiba. Ikaja 2000, 2005, 2010 bado hivyo hivyo, 2015 na leo 2020. Halafu wanaongoza mwanzo hadi mwisho!
Labda wakutoe kafara wewe kwanza shekh...
 
Hao Waliotangulia mbele ya haki si walikuwa Wanampigania Mzee apate? sasa kuna usaliti gani sasa leo akipata?.
 
Back
Top Bottom