Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
 
Naunga mkono hoja
P
 
Ingependeza ungeanzisha uzi kuwanusuru wahanga uchaguzi walio mahabusu, kuwasemea waliotangulizwa mbele ya haki , walio hospitalini , majumbani wakitibiwa, dhuluma,hujuma uchaguzi achana na kusifia mtu.
 
Ingependeza ungeanzisha uzi kuwanusuru wahanga uchaguzi walio mahabusu, kuwasemea waliotangulizwa mbele ya haki , walio hospitalini , majumbani wakitibiwa, dhuluma,hujuma uchaguzi achana na kusifia mtu.
Mkuu kuna thread nyingi zihusuyo hayo na nimecomment toka Jana na comment

Even me nimetoka mahabusu kwa makosa ya uchaguzi ni kishutumiwa kwa makosa kadhaa,namshukuru Mungu nimepata dhamana
 
Naunga mkono hoja
P
Kuna kipindi Paschal ulikuwa upo kwenye right track lakini saivi umepotea sana. Karudi kutengeneza njia kwa mzalendo wa kweli kupata uongozi ili tufaidi mema ya nchi
 
Ni wazalendo sawa lakini hilo la kukataa marupu rupu ya zaidi ya 10Milion kwa mwezi na kuelekea bungeni hakuna anayethubutu kufanya hivyo
Kukataa posho siyo kigezo pekee cha uzalendo.

Mathalani Lissu posho hizo ndiyo zilimwezesha kutetea watu wengi mahakamani na nje ya mahakamani on pro bono bases.

Mbowe kwa vile alivyopoteza kwa sababu ya siasa hata hizo posho hazina maana yoyote kwake.

Dr Slaa uzalendo wake hauhojiki law yale aliyoyapigania.

Unless uniambie kipimo pekee cha uzalendo ni kukataa posho.

NB
Binafsi siwezi kuweka kwenye mizania yoyote uzalendo wa hao watu Zitto akiwemo kwa sababu uzalendo wao haupimiki baada ya Mwalimu Nyerere ni wao.
 
Nimeona akiombewa Ubunge wa kuteuliwa kwenye thread nyingine hapa naona ukimuombea Urais 2025,

Sasa sijui tushike lipi ubunge ama Urais??
 
Kukataa posho siyo kigezo pekee cha uzalendo.

Mathalani Lissu posho hizo ndiyo zilimwezesha kutetea watu wengi mahakamani na nje ya mahakamani on pro bono bases..
Nimekuelewa mkuu
Basi saivi tuunde mfumo madhubuti wa kumbeba zitto kabwe na yeye agombee 2025
 
Naunga mkono hoja
P
Tuko pamoja. Zitto ni lulu ndani ya banda la nguruwe, hathaminiki
 
Huyu aliyeenda kupeleka barua WB tuzuiwe kupewa mikopo nafuu,huyu mjinga huyu anatumikia tumbo lake tu.sasa aende tena basi. Hawa wapinzani walijisahau sana unaendaje kupinga mikopo mahali huku ukirudi unataka upewe tena ruzuku na posho na serikali hiyo hiyo unayoichongea,aisee sasa ni wakati wake muafaka wa kuonyesha upinzani akiwa nje.

Apiganie uzalendo vizuri sio unafki nafki tu na kwa somo dogo tu kachero mbobezi kachukua makabrasha yote ACT kayamwaga lumumba SAA HIZI KIMYAA KAMALIZA KAZI.GOLI LA DK 89 HAMKUMUELEWA tu anamaanisha nini.
 
Huyu aliyeenda kupeleka barua WB tuzuiwe kupewa mikopo nafuu,huyu mjinga huyu anatumikia tumbo lake tu.sasa aende tena basi.hawa wapinzani walijisahau sana unaendaje kupinga mikopo mahali huku ukirudi unataka upewe tena ruzuku na posho na serikali hiyo hiyo unayoichongea,aisee sasa ni wakati wake muafaka wa kuonyesha upinzani akiwa nje.

Apiganie uzalendo vizuri sio unafki nafki tu na kwa somo dogo tu kachero mbobezi kachukua makabrasha yote ACT kayamwaga lumumba SAA HIZI KIMYAA KAMALIZA KAZI.GOLI LA DK 89 HAMKUMUELEWA tu anamaanisha nini.
Huko kwenda WB ndio uzalendo wenyewe maana majizi yalikopa hela kwa kisingizio cha elimu wakati humu ndani huwa inatumika "tunatoa billion 20 ya elimu bure kila mwezi, zile ni pesa zetu za ndani"
 
Back
Top Bottom