Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Securelens

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
309
1,000
CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma.

Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya Kenya ambavyo vina ajenda zao.

Baadhi ya WANACHADEMA na viongozi wao uchwara wanajaribu kutengeneza matukio ya uongo ili kuvuta attention ya wananchi lakini wapi, kila jaribio linabuma. Wengine humu wanashinda kutwa nzima kwenye JF, facebook, Twitter na hata Badoo lakini habari zao zinapuuzwa tu. Watanzania wana akili na Jumuiya ya kimataifa pia zinaakili na zinatambua utoto wenu.

Nawashauri fanyeni kazi. Uchaguzi umeisha.
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,201
2,000
Mungu ameikusudia Nchi hii mambo Mazuri, shetwani kupitia maajenti wake nao wanaitolea udenda nchi yetu.

Kama Mungu alivyoinusuru Nchi yetu na korona, hawezi shindwa kushughurikia mipango ovu ya kishetani ya wapinzani uchwara wakiwa Chini ya mwamvuli wa Beberu.
 

Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
22,594
2,000
Lema katawala Arusha miaka kumi akiwa salama kabisa sasa iweje leo kapoteza jimbo ndo aanze sakwa kutishiwa anatishwa na nani wakati hana lolote Arusha?
Hajawahi kumtawala mtu
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,581
2,000
Hivi huwa mnapata wapi akili za kipumbavu hizo za kuwasemea watanzania? Nyie wachache kama ni makatiri msitulazimishe na wengine kuwa makatiri kama nyinyi. Cha ajabu hata aibu mmeshakosa kabisa. Inasikitisha sana kuona watu wazima tena wenye madaraka ya juu serikalini kusema bila aibu ccm imeshinda kwa kishindo wakati kila mtanzania aliona marundo ya kura fake. Mnasikitisha sana.
Hata tulipokuwa tunawaambia Lisu havuki 20% mlikuwa mnatukana kama hivi!

Subiri uone sasa kama kina Lema wataambulia chochote,
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
8,216
2,000
Kikubwa kumwomba Mungu tusidumbukie huko.

Wakubwa huwa wanatafuta kakosa kadogo tu...unaskia Tanzania hivi Tanzania vile.... na wakiona kuna watu barabarani hata 100 tu nchi tunaipoteza.
Bora ipoteee tukose wote

Hatutaipoteza nchi sababu ya watu wenye options za kuwa wakimbizi sababu tuu wamekosa vyeo. Muda so mrefu mafuta na maji vitajitenga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom