Nitajie viongizi watatu tu wa Upinzani waliopigana vita ya Kagera kwa namna yoyote ile ukimuondoa mzee Mrema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,748
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa Nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...

Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
 
Unawajua wajumbe wa CC ya CCM mh Makongoro na mh Mangula?

Uzalendo umejengwa juu ya misingi.
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field...
Unataka kujenga hoja gani hapo mbona hueleweki??!! Wewe pia nitajie watatu kutoka upande wako huo aliyeshiriki vita ya Maji-Maji. Arraahh!!!

UZALENDO HAUNA CHAMA!!?
 
Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
27M za Mzungu zinakuhusu nini, na huyo Mzungu alitukopeshaje.
Nakukumbusha Rais alikataa msaada wa fedha alichowaeleza ni kwamba wao wapunguze deni wanalodai na siyo kutuletea msaada mwingine wowote. We won a battle in Jesus name and Mtume through prayer.
Endeleeni kuitafuta laana ambayo kumbukeni Mungu yupo pamoja na sisi.
 
Yaan wewe kweli hamnazo mfumo wa vyama vingi umeanzishwa mwaka gani ili uweze kujenga hoja ya swali lako?
Yaan kila siku nasema kusoma sio kuelimika bali ni kupata kazi ile uendeshe maisha yako angalia huyu anaandika utopolo gani yaan hata historia ya Tanzania haijui
Viongozi wa upinzani wamezaliwa baada ya vyama vingi?
 
Acha utoto dogo, vita ya Uganda ilipiganwa miaka 40 iliyopita, mtu aliyekuwa mdogo sana kama alienda kwenye vita hiyo alikuwa na miaka 20 wakati huo ambao kwa sasa atakuwa na miaka 60+, je ni kiongozi gani wa upinzani saa hivi mwenye miaka 60, ambaye wakati alikuwa mwanajeshi, au hakuwa shule hivyo alistahili kwenda kwenye hivyo vita? Mmeshindwa kutupa mrejesho wa €27m za mzungu saa hii mnaleta mada za uzalendo uchwara.
Rungwe, prof. Safari, Maalim na wengine walikuwa na umri gani?
Tatizo mkitajiwa upinzani mnatazama chadema tu
 
Kwa ufupi sana unaweza kunitajia viongozi watatu tu wa vyama vya upinzani walioshiriki vita vya kumng'oa nduli Idd Amin wa Uganda, siyo lazima wawe wapiganaji bali hata wawezeshaji kule field.

Ukiwaacha pembeni mzee Lyatonga Mrema na Marando.

Uzalendo umejengwa katika misingi.

Maendeleo hayana vyama!

cc : mmawia wa Ufipa st.
Mimi nilipigana hiyo vita kuanzia mwanzo mpaka mwisho,

Mitaa ya kyaka,kagera sugar zote A&B,Mutukula,mbalala, masaka koote nilikanyaga kwa mguu wangu .

Nililipigania taifa langu kwa moyo wa kujitolea kuliko jengwa na uzalendo halisi tulio upata kupitia kwa rais wa Tanzania wakati huo mwl JK Nyerere.
 
Yaan wewe kweli hamnazo mfumo wa vyama vingi umeanzishwa mwaka gani ili uweze kujenga hoja ya swali lako?
Yaan kila siku nasema kusoma sio kuelimika bali ni kupata kazi ile uendeshe maisha yako angalia huyu anaandika utopolo gani yaan hata historia ya Tanzania haijui
Huyo hana cha kusoma wala nini,alikuwa ni buffet attendant kwenye Trc alikuwa ni muuza chai tu
 
Back
Top Bottom