Yule Mkurugenzi wa Temeke aliyemtolea maneno ya kuudhi Mwandishi wa Habari aliyetaka kupata ufafanuzi dhidi ya mgogoro wa ardhi mbona hawajibishwi?

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Sina mengi lakini suala la utawala bora nchi hii bado sana. Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke alitoa maneno ya kuudhi dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha ITV, Shaka lililotafsiriwa kama ukiukwaji mkubwa wa maadili kwa kiongozi Huyo wa Umma.

Lakini pia hapohapo Temeke mwaka 2019 walinunua gari la thamani ya Tsh milioni 400 kosa hilohilo ambalo limemuondoa mkurugenzi wa halmashauri moja huko mkoani Geita.

Je, kuna double standard?
 
Mbona aliombewa msamaha na boss wake kitambo tu🤔🤔(mh Godwin Gondwe)
 
Back
Top Bottom