Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,801
141,703
Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake.

Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange yajayo na sasa ni rasmi Zanzibar imetulia.

Huku Tanganyika bungeni vyama vya upinzani wamejaa wanawake watupu hivyo kama itampendeza Rais Magufuli akamteua Mbowe kuwa mbunge ili uwepo usawa wa kijinsia kwa kambi ya upinzani basi litakuwa ni jambo jema na hapo tutahitimisha rasmi siasa za Uchaguzi na kujikita kwenye kuchapa kazi.

Shoka moja mbuyu chini.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nakupa onyo la mwisho, achana na Mbowe itakugharimu , unaweza kujenga hoja zako bila kumhusisha Mbowe na hoja zako zikaeleweka tu usifanye siasa kwa kutumia migongo ya watu.
Duuuh.

Unajua ubabe huo sio wa "kitoto"

Ubabe km huo mtu makini hawezi kuuchukulia kiwepesi?

Looh haya mimi ngojea niweke bega langu pembeni kwa kuyakumbuka maneno ya mh.Sumaye kuwa SUMU HAILAMBWI.

Peace
 
Sina hulka ya kubishana na masikini , zaidi huwa nawasaidia pesa za kujikimu
Wewe na huyo Mlevi wako Mbowe na ukoo wako wote ni wachumia juani tu hapa TZ.Ninekupa nafasi ya kunionyesha jinsi ambavyo inaweza kunigharimu kwasababu ya kumtaja huyo Nyumbu mwenzako kwenye mijadala hapa jukwaani umeshindwa.

👉Huyo kibwetele wako nitamtaja kama nijisikiavyo, na hauna lolote la kunifanya. Si hapa jf kwenye fake ID wala kwenye maisha halisi. Tishia walalahoi wenzako😂
 
Nishasema sihangaiki na kapuku.
 
Haahaa siku mbowe akiteuliwa, utasikia pongezi za maccm kwa Mbowe na JPM. Mbowe ataanza Sifiia hatari. Muda so mrefu zitto atapewa ubunge na jpm.
Huyu JPM ametumia mabilions ili kuwakosesha ubunge wapinzani alafu awateue Tena ubunge? Hapo ndo itadhihirika.
 
Wewe na huyo Mlevi wako Mbowe na ukoo wako wote ni wachumia juani tu hapa TZ.Ninekupa nafasi ya kunionyesha jinsi ambavyo inaweza kunigharimu kwasababu ya kumtaja huyo Nyumbu mwenzako kwenye mijadala hapa jukwaani umeshindwa.

👉Huyo kibwetele wako nitamtaja kama nijisikiavyo, na hauna lolote la kunifanya. Si hapa jf kwenye fake ID wala kwenye maisha halisi. Tishia walalahoi wenzako😂
We dogo unakalia kitu Cha ncha butu siyo bure
 
Mkuu john mbatizaji sio fair kabisa hii😂😂😂😂 yani unataka baki na erthrocyte wakumeze eti😂😂 sasa Mbowe akipewa ubunge hawa watu watalamba miguu ya nani pale Ufipa 😂😂😂😃
 
Back
Top Bottom