Hatimaye viongozi wa CHADEMA wamtembelea anayejiita ''Mdude CHADEMA''

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,974
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
 
Tumeshamtembelea mara kibao,na si lazima tunapokwenda tukujulishe.
 
Huyu mdude ni picha ya chadema. Mtu anaweza kumtukana matusi ya nguoni rais wa nchi kama magufuli unaweza kumsoma vipi?
Kujiamini kote huko utaona ni mtu mpumbavu anayejiamini. Kuna methali moja toka kabila moja nchini ghana. 'Bora kuheshimu mashaka ya mwerevu kuliko kufuata hakika ya mpumbavu anayejiamini'
Tumeona matokeo ya uchaguzi na jinsi uzalendo wa mdude chadema ulivyokua wa kipuzi. Tangu ametupwa lupango miezi mitatu ndio wameenda kumchungulia. Hao kina lissu mbowe lema kila mtu na lwake. Wengine wamesharudi ulaya kwa bwana zao...poor mdude.😂😂
 
Huyu mdude ni picha ya chadema. Mtu anaweza kumtukana matusi ya nguoni rais wa nchi kama magufuli unaweza kumsoma vipi?
Kujiamini kote huko utaona ni mtu mpumbavu anayejiamini. Kuna methali moja toka kabila moja nchini ghana. 'Bora kuheshimu mashaka ya mwerevu kuliko kufuata hakika ya mpumbavu anayejiamini'
Tumeona matokeo ya uchaguzi na jinsi uzalendo wa mdude chadema ulivyokua wa kipuzi. Tangu ametupwa lupango miezi mitatu ndio wameenda kumchungulia. Hao kina lissu mbowe lema kila mtu na lwake. Wengine wamesharudi ulaya kwa bwana zao...poor mdude.
Matusi gani ametukana? Mbona kwenye hati ya mashtaka yake hakuna hayo unayoyaita matusi?
 
Viongozi wa Chadema mkoa wake walikuwa wakimtembelea Mdude kila mara gerezani, wacha kupotosha eti baada ya kuleta mada hapa.

Na last time wameenda kumtembelea aliwaambia wampelekee truck suit na raba kwa ajili ya kufanyia mazoezi, jamaa yuko poa kabisa, anatimiza kile moyo wake ulichomtuma, wewe endelea kupiga kelele.
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
Dah!jamaa Amekwisha sio mchezo niru yote imepotea usoni.
 
CHADEMA yote ni Mdude tu ndio yupo gerezani? na huwa wakienda kutembelea hao wengine huwa wanaita waandishi wa habari?
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG

Nimecheka kwa nguvu, eti hatimaye viongozi wa cdm wameenda kumtembelea mdude cdm. Unataka kujifanya mada yako ndio imechangia wao kwenda kumuona, inaonekana ndio jana umeona wakienda kumtembelea, hivyo unataka tuamini ndio mara ya kwanza wao kwenda kumtembelea.
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
Mdude wewe utakuwa umejifunza mengi kwa muda mfupi
 
Wanyama nyinyi. Waachieni wafungwa wa kisiasa.
 
Kama unaamini pumba unazoandika hapa watu wakizisoma ndio wanafanyiakazi mbona hukuandika Nusrat Hanje na wenzake kukaa jela kwa bailable case?

Je huyu Mdude naye ana kesi gani? Mauwaji au uhujumu uchumi? Ni bailable case au anakaa ndani kwa matakwa ya DPP kumfurahisha mungu wake na Kabudi?
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
Unapotengeneza uongo tumia hata hiyo akili ndogo ya kuvukia barabara uliyonayo , Chadema iko na Mdude kabla ya huo upuuzi wako wa kulazimisha posho za lumumba baada ya aliyekuwa anakulipa Humphrey Polepole kung"olewa .

Na ukiendelea kuleta ujinga tutakuanika kwa majina yako yote matatu , tunafahamu hutafanywa kitu lakini angalau mitaani utajulikana

Liwalo na liwe
 
Waache ujinga, tunahitaji kujenga umoja na siyo upotoshaji huku ukijua unahusika na uuzaji wa madawa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom