Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold...
Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono.
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amewaonya Watanzania waliozoea kupata ajira kwa mfumo wa kuwaandikia viongozi vikaratasi kuachana na mfumo...
Viongozi wa Afrika Kuna sehemu wanakwama katika utendaji wa kazi zao. Inawezekana si wakweli na wazalendo au Kama ni wakweli na wazalendo Basi tafsiri ya uzalendo inapaswa kutafsiriwa upya...
TAKUKURU wawafikisha mahakamani Seth Na Rugemalila kwa uhujumi uchumi.
=======
figganigga said=>TAKUKURU imesema inawashikilia Harbinder Singh Sethi na James Rugemalila kwa makosa ya uhujumu...
Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'
Twitter accounts of several activists were targeted by the copyright attack
Twitter's policy that deals with the infringement of...
Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi.
Akizungumza leo...
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda...
Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko...
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka...
TUJIKUMBUSHE..
"WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!"
MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)
Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika...
Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi.
Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.
Ni hivi...
Historia inazungumza wazi kuwa baada ya Uhuru wa Tanzania nchi haikuwa na wasomi wengi hivyo serikali iliwajibika kuandaa nguvu kazi itakayoweza kulihudumia Taifa hili.
Hata hivyo, wasomi...
Vijana ni kundi kubwa, muhimu na linaloongoza kwa uwingi wa idadi kubwa ya watu hapa Tanzania na kwasasa inaarifiwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania wote ni vijana. Vijana ni kundi kubwa lenye...
Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.
Poleni kwa sababu...
Ni mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na Mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela.
Marehemu hakukamatwa kwenye tukio lolote, bali alipigiwa simu ili aje...
Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake.
Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.