Vijana poleni sana!

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.

Poleni kwa sababu hata Serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake iendelee kujengwa.

Huyu Rais hana huruma hata kidogo kwa vijana yeye anapenda international prides tu.

Nimesikia hata wale waliojiajiri kutengeza simu mtaani wameambiwa waache hiyo ni kazi ya watu wa VETA na DIT.

Nchi hii sasa hivi imekuwa ngumu kuishi na soon tutaanza kukimbia nchi kama wakimbizi.

Hata zile ajira za ualimu ambapo kiukweli walioajiriwa hawazidi elfu moja, nasikia vimemo ndio vilitawala na mostly UVCCM au wasukuma ndo wamelamba dume.

Poleni sana
 
Basi tupeane michongo sio kutupa pole ya kinafiki wakati na wewe ni wale wale mlioko kwenye payroll ya almashauri.
 
Hizi kauli za kuwataka vijana wajiajiri zimekuwa nyingi mno
Alianza Mizengo Pinda
Ajaja Doto James
Na jana Ndugai.

Wote hawa hawajawahi kujiajiri. Lkn wanawataka vijana wakajiajiri.
Bora Pinda analima
 
Huyu naye siyo mfano bora mkuu. Kwasabb naye kazeekea kwenye ajira. Analima baada ya kustaafu.
Hio tunaita kulima for fun huku vibali vyote vya ku export viko wazi. Haangaiki na soko la nchini la gombania goli 😂😂😂
 
Back
Top Bottom