Lukuvi hivi unawatafuta nini wananchi kwenye ardhi? Hebu tuliza spidi unaenda kasi isiyo na faida

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,296
2,000
Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi.

Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.

Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa.

Kama ardhi tunazimiliki kihalali, wewe tulia ofisini uje na mawazo yenye tija juu ya namna ya kuboresha umiliki wa ardhi, kuboresha masuala ya mipango miji. Lakini siyo kila ukiamka unaanza kutupigapiga mikwara, mara hili mara lile.

Lukuvi kwani ukikaa ofisini ukapanga mipango mizuri ya wizara unaona hiyo ni kazi ngumu isipokuwa kutishatisha wananchi kunyang'anya ardhi zao?

Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!

Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.

Hivi nyie viongozi, mtaanza lini kuheshimu wananchi badala ya kujiimpose juu yetu utadhani nyie ni manyapara wetu?

Lukuvi awamu hii umeanza na mguu mbaya, hebu tuliza ball kwanza, Mambo ya msingi hayataki manguvunguvu. Tuliza mshono, achana na mawazo ya unyang'anyinyang'anyi, fanya kazi zenye tija!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,296
2,000
Mchawi Mkuu(Jiwe) anapenda kusikia kauli kama hizo ndiyo maana mawaziri wake kilasiku wanakuja nyimbo mpya
Kweli kabisa, hizo kauli za kuumiza umiza watu, kuwatia watu umasikini ni kauli za za kisadist, ni kauli za kichawichawi.

Haifai kiongozi wa serikali ya watu kama kweli imetokana na watu kuanza kufikiri namna ya kuwapora wananchi miliki zao.

Ni ushenzi
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,815
2,000
Kweli kabisa, hizo kauli za kuumiza umiza watu, kuwatia watu umasikini ni kauli za za kisadist, ni kauli za kichawichawi.

Haifai kiongozi wa serikali ya watu kama kweli imetokana na watu kuanza kufikiti namna ya kuwapora wananchi miliki zao.

Ni ushenzi
The rulers of the United Kingdom of Tz.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,285
2,000
Lukuvi hana jipya ...anatafuta sifa tu awe anasikika yeye tu .....upuuzi angetulizana maana hana jipya ! Angetulia ....budara kubwa
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,786
2,000
Nina Imani na Lukuvi.

Mungu azidi kumpa hekima afanye maamuzi ya haki ktk utendaji wake siku zote.

Kama ardhi imevamiwa na wahuni basi haki itendeke mmiliki halali apewe haki yake!

Aluta continua

Usikatishwe tama ndugu Lukuvi.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,994
2,000
Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!

Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.

Naanza kuona dalili za vita kati ya Klerruu na Mwamwindi
 
Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,148
2,000
Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi

Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.

Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa.

Kama ardhi tunazimiliki kihalali, wewe tulia ofisini uje na mawazo yenye tija juu ya namna ya kuboresha umiliki wa ardhi, kuboresha masuala ya mipango miji. Lakini siyo kila ukiamka unaanza kutupigapiga mikwara, mara hili mara lile.

Lukuvi kwani ukikaa ofisini ukapanga mipango mizuri ya wizara unaona hiyo ni kazi ngumu isipokuwa kutishatisha wananchi kunyang'anya ardhi zao?

Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!

Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.

Hivi nyie viongozi, mtaanza lini kuheshimu wananchi badala ya kujiimpose juu yetu utadhani nyie ni manyapara wetu?

Lukuvi awamu hii umeanza na mguu mbaya, hebu tuliza ball kwanza, Mambo ya msingi hayataki manguvunguvu. Tuliza mshono, achana na mawazo ya unyang'anyinyang'anyi, fanya kazi zenye tija!

View attachment 1657580
Mbio za urais mwaka 2025 zimeshaanza. Akina Kabudi na mwenzake (jina nimemsahau) raisi alishawatupa nje kwenye mbio hizo. Hivyo ni Fursa kwa waliobaki.

Mwigulu yupo dirishani anachungulia na kuhesabu waliojitokeza. Kwani Mwigulu hajui Mkulu atasema nini kwa waliojitokeza mapema. MHuenda mwezi ujao naye akajitokeza. Nafasi ya kazi ipo wazi.
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,505

Mbio za 20-25 vita ni kali sana.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,915
2,000
Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi

Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.

Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa.

Kama ardhi tunazimiliki kihalali, wewe tulia ofisini uje na mawazo yenye tija juu ya namna ya kuboresha umiliki wa ardhi, kuboresha masuala ya mipango miji. Lakini siyo kila ukiamka unaanza kutupigapiga mikwara, mara hili mara lile.

Lukuvi kwani ukikaa ofisini ukapanga mipango mizuri ya wizara unaona hiyo ni kazi ngumu isipokuwa kutishatisha wananchi kunyang'anya ardhi zao?

Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!

Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.

Hivi nyie viongozi, mtaanza lini kuheshimu wananchi badala ya kujiimpose juu yetu utadhani nyie ni manyapara wetu?

Lukuvi awamu hii umeanza na mguu mbaya, hebu tuliza ball kwanza, Mambo ya msingi hayataki manguvunguvu. Tuliza mshono, achana na mawazo ya unyang'anyinyang'anyi, fanya kazi zenye tija!

View attachment 1657580
Mkuu umemwambia ukweli,tatizo lukuvi anafikili alivyo na mapesa kila mtu anamapesa Kama yeye,unachukuaje ardhi ya mtu ki masiala hivyo,Kama tu wananchi waliokua na mapori yao ndani ya ikulu chamwino walilipwa fidia na SERIKALI iweje lukuvi kuja na kauli Kama hizi, so anampanda boss wake,SERIKALI nzima na wananchi kichwani, kumbe ndo maana alishaambiwa hawezi gombea urais,na atumbuliwe KWA mazarau yake,
Analazimisha wananchi tusimiliki ardhi kisa hatuna uwezo wa kujenga? Ajui ardhi ni aset nisipojenga wanangu ,wajuu watajenga, na je yeye maeneo yote kuanzia Kijijini kwake kajenga,
Angalia namna nzuri ardhi za watu zaweza boreshwa,nakuwapatia tija wahusika,sio blabla za kukwiba ardhi za watu na then maafsa ardhi kupitia hapo kukwiba pesa na viwanja vya bure
MWISHO
KWA mazalau Kama haya 2021,namuomba atumbuliwe
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,786
2,000
Nilikuwa sijafungua hiyo clip kumbe ndiyo kasema hivyo?!

Hapana aisee!

Cha muhimu aseme watu walipie kodi na kusafisha maeneo mara kwa mara!

Kujenga siyo jambo la urahisi rahisi kiivyo!
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,786
2,000
Maeneo mengine yanatunzwa waje kujenga watoto na wajukuu.

Cha maana watu walipie kodi kwa maeneo yaliyokwishapimwa na kusafishwa mara kwa mara.

Ila hilo la kujengea ukuta nimelipenda !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom