Wakati naandika makala ambayo itatoka kwenye gazeti moja la leo kuhusu Magufuli na kwanini hana chaguo jingine lolote isipokuwa kujiuzulu nilijadiliana na ndugu yangu mmoja na tukajikuta...
Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo.
DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil...
Habari wadau!
Juzi watu walikuwa wanapiga kelele kitendo cha mkuu wa wilaya Kenani Kihongosi kutandika viboko wale wahuni walioiba madawati ya shule.
Binafsi nikawa na cheka tu maana...
Ndugu waandishi wa habari ninawashukuru kwa ujio wenu na ni matarajio yetu kuwa mtawahabarisha wananchi yale yote tutakayoyaeleza.
Ndugu waandishi wa habari, kama mnavyofahamu nchi yetu ilifanya...
Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa...
Wilfred Lwakatale ashauri tubadili mfumo wa kupata wawakilishi, kuna mifumo mingi ya kutumia tujifunze kutoka nchi zingine amesema kuna mfumo ambao vyama vinapata wawakilishi kutokana na idadi ya...
An open letter to His Excellency, President John P. Magufuli, President of Tanzania
WATER, WATER EVERYWHERE - BUT NO WATER FOR THE RESIDENTS OF TARIME, TANZANIA?
In our Holy Bible: Ecclesiastes...
Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa...
Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2.
Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani...
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo...
Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile.
Ujenzi wa uwanja, mbuga ya...
Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi.
Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku...
Nimetafakari kwa kina sana, ile Chadema ya Lowasa na hii ya Lissu nikaona kwamba practically Chadema imeshajifia toka uchaguzi uishe, migogoro imekuwa mikubwa sana baina ya viongozi wakubwa kabisa...
"Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba...
Tunapotafakari mustakabari wa siasa za nchi yetu,tujitahidi kuwa wakweli,maana kweli humuweka mtu huru.
Tusipoangalia tutakuwa watu wa kusukuma magari ya wanasiasa, kudeki mabarabara hata kuliwa...
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi...
TAARIFA KWA UMMA WA TANZANIA JUU YA MAPUNGUFU YA CHAMA CHA WAKUU WA SHULE (TAHOSSA).
UTANGULIZI.
Ndugu waTanzania na wananchi wa Taifa letu la Tanzania ambao mnapenda kuona chachu kwa...
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma amewataka mawakili 166 wapya walioapishwa leo kuziishi kanuni na maadili akiwataka kuwajibika kwa mujibu wa Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.