Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha inayoonyesha mwonekano mzuri wa volkano ya Ol Doinyo Lengai, "Mlima wa Mungu" iliyoko Gregory Rift, Kusini mwa Ziwa Natron ndani ya Mkoa wa Arusha imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika...
6 Reactions
115 Replies
15K Views
Kwa mujibu wa mwalimu mmoja aliyepo wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora ambae yupo likizo kwasasa hapa mkoani Dar es Salaam anasema hivi! Kipindi cha kuelekea uchaguzi walimu waliambiwa na CWT pamoja...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo...
24 Reactions
134 Replies
13K Views
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae...
8 Reactions
48 Replies
10K Views
Nampongeza aliyebuni wazo la mradi wa mabasi yanayoenda mwendo wa kasi. Hata hivyo mimi nilidhani kuwa mabasi haya yangelenga kwanza kwa kuwawahisha watu (wafanyakazi, wanajeshi, wanafunzi...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni. This time wameenda mdanganya Membe...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania. Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike...
21 Reactions
237 Replies
22K Views
Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri 185 nchini kuhakikisha wanafikisha zaidi ya 50% ya makusanyo...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata...
3 Reactions
0 Replies
998 Views
Miradi mingi ya wizara na idara za serikali imesimama au kusuasua kwa kukosekana fedha ambazo zimepitishwa na bunge au kuahidiwa na Mhe. Rais. Viongozi wa kisiasa wanapotembelea miradi hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Askofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu. HUKUTOKEA! Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa...
17 Reactions
85 Replies
11K Views
%KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI...
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani...
65 Reactions
310 Replies
29K Views
Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria...
27 Reactions
91 Replies
7K Views
Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
JE KATI YA QNet NA SERIKALI NANI AMEMTAPELI MWANANCHI? Habari kubwa Tanzania kwenye ulimwengu wa biashara ya mtandao Juma hili ni QNet! Wengi wanaifananisha QNet na DECI hii ni makosa sana! QNet...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Back
Top Bottom