Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema.
Mbali ya hayo wamesisitiza...
Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la...
Ndugu zangu watanzania kama hamjuwi tupo kipindi gani ktk uchumi na tunakula bata bila kujuwa ya Kesho basi naomba niwaambie as a nation we are in Recession moderate not full.
Haya mambo...
Serikali kuanzia July 1, 2020 ilifanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mishahara (PAYE) na kutoa unafuu fulani kwa watumishi.
Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya japo tunahitaji iende zaidi ya...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema hataki kusikia suala la watu kuzuiwa kuchukua maiti kwa madai kwamba ndugu wanatakiwa walipie gharama...
Amani kwako.
Maandiko yanasema.
Warumi - Romans 13:
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye...
Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na...
Mhe Katambi chunguza CWT makato yawe 1% kwa mwezi Walimu tufurahi.
Kwa uteuzi wa kuwa Naibu Waziri wa wizara ajira na kazi, binafsi nilifurahi sana. Nilifurahi kwani, nakujua uwezi wako tangu...
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be...
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.
Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku...
Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza...
Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere.
Miongoni mwa Mambo...
Kutokea mwananyamala A hadi kona ya studio mkandarasi ametoa lami ya zamani kisha amefungulia barabara maisha yanaendelea.
Ndio nauliza kwanini uliondoa ile lami ya zamani?
Yaani umechimbachimba...
Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali.
Mimi naungana...
Naomba kukuuliza wewe au wenzako au yeyote anayejua.
Haya maisha kuwa magumu, nikwasababu ya kuingia uchumi wa kati?
Je, bado unataka tuingie uchumi wa juu tena? Nakuingia wa juu yake, sijui wa...
DED, DC, Mbunge Ilemela wapiga Mil. 300 katika mradi wa hospitali
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela John Wanga na mkuu wa wilaya hiyo, wanatuhumiwa kushirikiana na kupiga fedha...
Pamoja na ziara za ujirani mwema za mtukufu rais kule malawi akikutana na rais Peter Mutharika na baadae rais mpya mchungaji chakwela kutimba hapa kwa siku mbili mpaka pale stand mpya ya mbezi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.